Breaking bad: TV show bora kabisa kuwahi kutokea

Asante mkuu. Ilibidi jana niichukue baada ya kelele nyingi humu ndani.

Nasema hivi Najutaaaa
 
Breaking bad bonge la story,ina kila kitu ntairudia siiichoki.
 

Mkuu kutazama kwako kote GOT wewe umeona usagaji na ngono??

Kuna kitu kina miss kwenye ubongo wako.
 
Mkuu kutazama kwako kote GOT wewe umeona usagaji na ngono??

Kuna kitu kina miss kwenye ubongo wako.
Sawa. Kwako ngono siyo shida
Angalia hiyo GOT ukiwa na watoto wako, mke wako, mama yako mzazi na ndugu zako wengine kwasababu ni series nzuri itawapendeza sana.
Unaangalia porno halafu unajifariji na kujiona wewe ni mjanja sana😁😁😁😁
 

Mkuu kwani kuzagamuana kuna shida gani? Kila binadamu unaye muona ametokana na tendo hilo
Kuzagamuana sio dhambi wala sio matusi wala sio kukosa heshima..... ni jambo lenye RAHA na TAMU kuliko matendo yote[emoji23][emoji23][emoji23]
Baba na mama yako walizagamuana ukapatikana wewe kama ambavyo baba na mama yangu walivyozagamuana nikapatikana mimi
Kinachotakiwa ni kwamba jambo lifanyike kama tulivyotamadunishwa
Hata wewe huwezi kumzagamu mkeo sebuleni na watoto na house girl yupo pale

Una akili timamu unatakiwa ujue kitu gani ufanye ukiwa wapi na kwa wakati gani
kama huwezi kumzagamua mkeo sebuleni na familia basi pia usiangalie porn sebuleni na familia......
 
1. Kwahiyo na sisi Tanzania tujenge Pleasure house (Danguro)?
2. Unaonaje na sisi Movie na Series zetu ziwe na maudhui kama game of throne Usagaji, ushoga na kufanya ngono kwa ujumla? maana haiathiri kwasababu unachotakiwa kuangalia ni ujumbe tu mambo ya ngono unayaacha pembeni
 
Inaonekana umezoea sana kubisha, kiasi kwamba unabishia hadi Data.

Yawezekana ikawa sio aina za movie unazopendelea, lakini haibadili fact kwamba ni movie nzuri kwa walio wengi.

Mfano, kwangu Mimi sijawahi kuielewa Game of Thrones, lakini huwa sishangai kuona majority wanaipraise.
 
Friends is the best tv show of all time
 
Kwa kweli haya mambo yamenipita kushoto kabisa, nipo dunia nyingine nahisi! 😄
 

Hujaelewa mantiki yangu mkuu
 
Breaking bad ni series iliyokamilika kuliko series yoyote ile director Vince Gilligan ni mtu haswaa
 
Breaking Bad ilikuwa poa. Ila Mimi binafsi series zangu Bora ni :
1. Leverage
2. Prison Break
3. Lupin
4. Burn Notice
5. Psych

Wengine kama GoT, the Mentalist, the Blacklist, Brooklyn nine nine, etc ndiyo wanafuata
 
Asante mkuu. Ilibidi jana niichukue baada ya kelele nyingi humu ndani.

Nasema hivi Najutaaaa
Eti unajuta??
Tuliza akili cheki series vizuri Kama huelewi dialogue tafuta subtitles wewe umeangalia vi episode viwili halafu unalalamika???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…