Breaking News Jeshi la ufaransa lafanya mashambulizi makubwa kwa kutumia makombora ya masafa marefu syria wakilenga waasi wa Dola la Kiislamu

Breaking News Jeshi la ufaransa lafanya mashambulizi makubwa kwa kutumia makombora ya masafa marefu syria wakilenga waasi wa Dola la Kiislamu

Hata ambao hawana shida na Syria wanaitandika tu, sisi JW tutajaribu pia makombora yetu kuipiga Syria
hayo makombora yetu yatapita anga ya nchi gani mpaka yakatue syria? Iko mbali
 
Halafu kuna jihadists humu wanaodai kwamba Isis eti inafadhiliwa na nchi za magharibi lakini hizo hizo nchi za magharibi ndizo tena zinaipiga Isis sasa utafadhilije mtu kisha tena umpige..!!??
 
Back
Top Bottom