Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Jan 1, 2025 #21 Covax said: Just testing their misile capability but no genuine reason for that Click to expand... Kabisa, Syria imegeuka maabara ya majaribio
Covax said: Just testing their misile capability but no genuine reason for that Click to expand... Kabisa, Syria imegeuka maabara ya majaribio
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 1, 2025 #22 Kinyungu said: Waasi gani tena wakati waasi wameshakuwa washkaji zao na wametwaa madaraka Click to expand... ndio tunashangaa
Kinyungu said: Waasi gani tena wakati waasi wameshakuwa washkaji zao na wametwaa madaraka Click to expand... ndio tunashangaa
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 1, 2025 #23 Sun Zu said: Bado na sisi kesho tusikie JWTZ wamerusha makombora Siria Click to expand... hatuna shida na syria
Sun Zu said: Bado na sisi kesho tusikie JWTZ wamerusha makombora Siria Click to expand... hatuna shida na syria
Sun Zu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2022 Posts 636 Reaction score 1,819 Jan 1, 2025 #24 LOTH HEMA said: hatuna shida na syria Click to expand... Hata ambao hawana shida na Syria wanaitandika tu, sisi JW tutajaribu pia makombora yetu kuipiga Syria
LOTH HEMA said: hatuna shida na syria Click to expand... Hata ambao hawana shida na Syria wanaitandika tu, sisi JW tutajaribu pia makombora yetu kuipiga Syria
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 1, 2025 #25 Sun Zu said: Hata ambao hawana shida na Syria wanaitandika tu, sisi JW tutajaribu pia makombora yetu kuipiga Syria Click to expand... hayo makombora yetu yatapita anga ya nchi gani mpaka yakatue syria? Iko mbali
Sun Zu said: Hata ambao hawana shida na Syria wanaitandika tu, sisi JW tutajaribu pia makombora yetu kuipiga Syria Click to expand... hayo makombora yetu yatapita anga ya nchi gani mpaka yakatue syria? Iko mbali
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,451 Jan 1, 2025 #26 Safi. Yanyooshe magaidi hayo
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Jan 1, 2025 #27 Halafu kuna jihadists humu wanaodai kwamba Isis eti inafadhiliwa na nchi za magharibi lakini hizo hizo nchi za magharibi ndizo tena zinaipiga Isis sasa utafadhilije mtu kisha tena umpige..!!??
Halafu kuna jihadists humu wanaodai kwamba Isis eti inafadhiliwa na nchi za magharibi lakini hizo hizo nchi za magharibi ndizo tena zinaipiga Isis sasa utafadhilije mtu kisha tena umpige..!!??