Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kutokea Lebanon

Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon

Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi hicho kipokonywe silaha

Kiongozi huyo Mkuu wa upinzani amesema Hezbollah hawawezi kuishinda Israel kwenye vita na kuwa hakuna Mlebanon yeyote atakayeamini hotuba za ulaghai na madai ya ushindi wa kufikirika zitolewazo na Viongozi wa Hezbollah

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024
Lebanese Christian opposition leader calls for disarming Hezbollah to prevent further escalation

By Gianluca Pacchiani Follow
Today, 2:17 pm
2
In a tweet against the terror group Hezbollah, Lebanese opposition leader Samy Gemayel says that in order to avoid an escalation, Hezbollah must be disarmed and the Lebanese state must regain control of the country.

Gemayel calls for the application of Resolution 1559, a UN decision from 2004 urging the Lebanese government to establish its sovereignty over the entirety of its territory, and disarm militias like Hezbollah.

“Resolution 1559 stipulates that weapons are exclusively in the hands of the State,” Gemayel writes on X. The party he leads, Kataeb, also known as the Phalanges, is a Christian political formation that was founded by his grandfather Pierre Gemayel. It holds only four seats in the 128-seat Lebanese parliament.

“After the response and the response to the response and the response to the response to the response, it has become clear that neither side intends to expand the war, so it is necessary to immediately stop military operations on both sides and move towards a ceasefire… in order to avoid further senseless destruction and death” Gemayel writes, describing sarcastically the tit-for-that border skirmishes that Israel and Hezbollah have been engaged in over the past 10 months of war.

“No Lebanese person will believe deceitful speeches and claims of imaginary victories,” he adds, in a probable reference to an address by Hezbollah leader Hassan Nasrallah scheduled for later today.
 
Huyo unajua wa Lebanon wanamuita nini Jaajah yani kuku 😄

Huyo ni kibaraka wa Israel nani atamsikiliza? Tena Nasurlah huwa ana mdharau sana bora hata yule Michael Owen anaheshimika upande wa wakristo.
 
Ushawahi kuona Trump anasapoti kamala kuingia ikulu?

Hezbollah jana mlitoa dozi nene safi sanaaaa

Wazayuni wakwenye CNN na BBC wanatisha ila wazayuni halisi hawana kitu kabisaaaa
 
Walidhani US atawatisha Hezbullah na wakati Hezbullah wanafahamu wazi chief of Staff wa USA yuko Israel ndio anaye endesha vita 😄

Kipigo safi sana hawawezi kukiri wamepigwa lakini Hezbullah anapata details vitu vilivyo gonga kwenye mishono kabisa 😄
 
Walidhani US atawatisha Hezbullah ba wajati Hezbullah wanafahamu wazi chief of Staff wa USA yuko Israel ndio anaye endesha vita 😄

Kipigo safi sana hawawezi kukiri wamepigwa lakini Hezbullah anapata details vitu vilivyo gonga kwenye mishono kabisa 😄
Na baadae wamesema wanaleta ushahidi wa video vyuma vilivyopiga tel aviv na haifa

Israhell na shoga zao wanajua tupo zama za giza

Kumbe mambo hadharani siku hizi ila hawatambui
 
Asitupangie, akae mkao wa kula.
Huyu kiongozi ni puppet wa mayahudi.

Lebanon itaendelea kugawanywa, upande mmoja ukitawaliwa na Hezbollah na mwingine serikali
Akae kutulia south Lebanon ni ya hizbo wao waendelee na mambo yao huko kwanza hawawezi kupambana na hizbo moto utawaka.
 
Anamaanisha zitaanza kupigwa kati yao na hao magaidi ya Hezbollah?
 
Kitakachofuata huyo gaidi Nasrallah ndio atapelekwa akhera kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai.
 
Upinzani unawaambia ukweli hao wajinga wanajificha kama kuku hawataki kuuskia, wacha waendelee kutandikwa vizuri watapata akili wakianza kuzika ndugu zao.
 
Sasa s kiongozi wa upinzani
Lazima apinge vyama vingine!
Mindset ya ajabu kwamba mpinzani lazima apinge tu, hata kama anawaambia ukweli msiopenda kuuskia, hao Hizbollah rockets zao nyingi zinakuwa intercepted wanajifurahisha tu, kama mnazo picha zikiua waisrael tuwekeeni hapa tuzione msilete story za "upinzani"
 
Ushawahi kuona Trump anasapoti kamala kuingia ikulu?

Hezbollah jana mlitoa dozi nene safi sanaaaa

Wazayuni wakwenye CNN na BBC wanatisha ila wazayuni halisi hawana kitu ka
Sema huwa mkovizuri kwenye eneo la kujifariji. Israel ingekua hovyo unadhani angekuwepo middle East??
 
Kuna sehemu nimesema israhell ipo hovyo?

Ila pia kama nikisema israhell ipo hovyo ntakua sawa pia

Israhell iko pale ilipo kwasababu ya walioieka ila yenyewe kama yenyewe hata dakika tano haiwezi ikawepo pale ilipo

Unajua meli vita ngapi na zana na wanajeshi wamepelekwa na marekank uingereza ujerumani canad na wengine kwenda kuihami israhell baada ya iran kutishia kulipa kisasi cha haniyeh?

Kumbe hata nikisema israhell haina lolote ntakua niko sawa pia
 
Kitakachofuata huyo gaidi Nasrallah ndio atapelekwa akhera kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai.
Hizi nyimbo tushazizoea
Ila kufa kwa kwa nasrallah haitakua mwisho wa hizbullah
Nawala haitakua mwanzo wa LGBTq+ kuikalia lebanon
 
Back
Top Bottom