Breaking news: ndege yatua na tumbo Kilimanjaro airport

Breaking news: ndege yatua na tumbo Kilimanjaro airport

Nisichoelewa ni kwamba, mbona hao jamaa wa Fire nao kama wamezubaa wanaangalia ndege inavyoseleleka? Sio kwamba ikishapita inabidi waifukuze kwa nyuma ili moto ukilipuka wanakuwa tayari wapo karibu kwa ajili ya kuuzima?
 
Back
Top Bottom