Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Ahhh
Samahani.Hivi mtu mwanamke ikitokea ameolewa na watu wanaume "wengi" halafu mmoja tu akafwariki,Je,ataitwa mjane?Swali la kijinga ajabu nimekuuliza mkuu.Achana na hilo,tuambie Mjane alikuwemo?
Samahani.Hivi mtu mwanamke ikitokea ameolewa na wanaume "wengi" halafu mmoja tu akafwariki,Je,ataitwa mjane?Swali la kijinga ajabu nimekuuliza mkuuAchana na hilo,tuambie Mjane alikuwemo?
Lile ni lijane lililo kubuhuSamahani.Hivi mtu mwanamke ikitokea ameolewa na watu wanaume "wengi" halafu mmoja tu akafwariki,Je,ataitwa mjane?Swali la kijinga ajabu nimekuuliza mkuu.
Subhanallah!Lile ni lijane lililo kubuhu
Feel like ur mother, too much mzee is un-obedient.Lile ni lijane lililo kubuhu
Mtulize hasira na chuki dhidi ya waliouwawa, kutekwa na kufanyiwa ushenzi ndipo uutoe huo ushauri.Afutaroo,kila mtu ana mama yake.Feel like ur mother, too much mzee is un-obedient.
ok.🐒Tunafuatilia taarifa kutoka kwenye mamlaka husika kuhusu ajali ya ndege aina ya Embraer 120 iliyotua kwa tumbo katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro jioni ya leo.
Kwa sasa hatuna taarifa nyingine .
Au walikuwa kwenye mazoezi ya uokozi hiyo![]()
13 reactions · 3 comments | Tunafuatilia taarifa kutoka kwenye mamlaka husika kuhusu ajali ya ndege aina ya Embraer 120 iliyotua kwa tumbo katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro jioni ya leo. Kwa sasa hatuna taarifa nyingine. | Aviation Media
Tunafuatilia taarifa kutoka kwenye mamlaka husika kuhusu ajali ya ndege aina ya Embraer 120 iliyotua kwa tumbo katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro jioni ya leo. Kwa sasa hatuna taarifa nyingine.www.facebook.com
Ni mjane wa viwango vya chini - hajakamilika.Lile ni lijane lililo kubuhu
Toka mwanzo kulikuwa na sintofahamu.🥺🤔🙇🏿♂Taarifa tulizozipata kutoka air port control room ya chuma ilikotoka....
View attachment 3683652
Toka mwanzo kulikuwa na sintofahamu.
Wenzio wameijua siku nyingi. Kama unawasimulia wasikilizaji; Wewe, wa lugha rahisi kuelezea tukio ungesemaje?Mshana jr una vibwenga,ndege kutuwa kwa tumbo?
Hii ndo naisikia leo
Uwe comedian
Basi ngoja nifafanue kitaalam😀Mshana jr una vibwenga,ndege kutuwa kwa tumbo?
Hii ndo naisikia leo
Uwe comedian
Ndege kutua kwa tumbo (Belly Landing au Gear-Up Landing). Hutokea pale ndege inaposhindwa kushusha magurudumu (landing gear) au kuyafunga vizuri kabla ya kutua. Sababu zinaweza kuwa hitilafu ya mfumo wa hydraulic au umeme, kuharibika kwa mfumo wa magurudumu etc.Mshana jr una vibwenga,ndege kutuwa kwa tumbo?
Hii ndo naisikia leo
Uwe comedian