Breaking news: ndege yatua na tumbo Kilimanjaro airport

(Yohana 4)
Katika Injili ya Yohana, Yesu anakutana na mwanamke Msamaria kisimani. Yesu anamwambia: "Maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa si mume wako."
• Hapa Biblia inaonesha kuwa mwanamke anaweza kuwa na waume wengi katika maisha yake (iwe kwa kuachana au kufiliwa). Kila mume anapofariki au wanapoachana, hadhi ya ndoa hiyo inaisha. Ikiwa mume anafariki, mwanamke huyo anakuwa mjane wa huyo mume aliyefariki.
Samahani.Hivi mtu mwanamke ikitokea ameolewa na wanaume "wengi" halafu mmoja tu akafwariki,Je,ataitwa mjane?Swali la kijinga ajabu nimekuuliza mkuu
 
Ndege iligonga Mbundamilia wakati wanaruka Seronela, walikuwa wakienda Zanzibar, Hapo alizima hiyo engine ya kushoto ili isiguse lami na kuharibika Kabisa...
 
Updates
Ndege aina ya Embraer 120, yenye usajili 5H-HLL, imeripotiwa kutua kwa tumbo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo, Oktoba 4, 2026.

Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka kwa mashahidi wa tukio hilo, ndege hiyo ilikumbwa na hitilafu katika mfumo wa magurudumu ya kutua (landing gear), hali iliyosababisha kutua bila magurudumu kushuka kama ilivyotarajiwa.

Tukio hilo linadaiwa kutokea majira ya saa 4:00 hadi 5:00 asubuhi, ambapo vikosi vya zimamoto na uokoaji vilikuwa tayari eneo la uwanja kwa ajili ya kuchukua hatua za dharura na kuzuia madhara zaidi.

Ndege hiyo iliondolewa muda mchache baadae na haikusababisha usumbufu mkubwa kwa safari za ndege nyingine.

Kwa sasa, Mamlaka ya uchunguzi wa ajali za anga "Tanzania Civil Air Accident Investigation Branch (TCAAIB) imeanza uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini chanzo cha hitilafu na mazingira yaliyopelekea ndege hiyo kutua kwa tumbo.

Taarifa zaidi kuhusu hali ya ndege, abiria na wahudumu pamoja na matokeo ya awali ya uchunguzi yanatarajiwa kutolewa na mamlaka husika, ingawa taarifa za watu wa karibu walioshuhudia tukio hilo zinasema hakuna watu waliojeruhiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…