Breaking newz: Wawili Walazwa baada ya kunywa sanitizer

Nyang'auz hizi .................πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alijua ina alcohol akaona kapata mseleleko
 
mambo yameanza watu wanalazwa na corona black wanalazwa kwa sanitizer
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walidhani juice ya aple
 
Shukrani kwa taarifa. Jukwaa linaruhusu
 
Wamevutiwa na kiwango cha AlcoholπŸ˜πŸ˜πŸ˜€ sio makosa yao. Ni matatizo ya maisha tu.
 
WAKENYA WANAHITAJI ELIMU YAANI HAWA JAMAA NI WASHAMBA SANA
 
πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…