Breaking newz: Wawili Walazwa baada ya kunywa sanitizer

Breaking newz: Wawili Walazwa baada ya kunywa sanitizer

Nyang'auz hizi .................😂😂😂😂🤣😂😂😂
 
Alijua ina alcohol akaona kapata mseleleko
 
mambo yameanza watu wanalazwa na corona black wanalazwa kwa sanitizer
Watu wawili waliotambulika kwa jina la joseph omolo na jackline wambui wakazi wa kakamega nchini kenya wamelazwa katika hospital huko kakamega baada ya kuzidiwa kutokana na kunywa dawa ya kuoshea mikono maarufu kama sanitizer.

Sosi. Ntv kenya

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walidhani juice ya aple

Shukrani kwa taarifa. Jukwaa linaruhusu
 
Wamevutiwa na kiwango cha Alcohol😁😁😀 sio makosa yao. Ni matatizo ya maisha tu.
 
WAKENYA WANAHITAJI ELIMU YAANI HAWA JAMAA NI WASHAMBA SANA
 
Watu wawili waliotambulika kwa jina la Joseph Omolo na Jackline Wambui wakazi wa Kakamega nchini Kenya wamelazwa katika hospital huko Kakamega baada ya kuzidiwa kutokana na kunywa dawa ya kuoshea mikono maarufu kama sanitizer.

Sosi. Ntv kenya

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
😳😂😂😂
 
Back
Top Bottom