Breaking waasi wa houthi waipiga Tel Aviv kwa makombora, mfumo wa kuzuia makombora wa idf washindwa kufanya kazi, 14 wajeruhiwa

Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
unamaana hata hao wanaojiita outh ni mamluki wao tu wanajivisha kanzu na vilemba ila hii inawezekana kutokana na tabia ya hao waasi kuvaa barakoa au kitambaa usoni kiasi huwezi jua nani ni nani hadi inakuwa ngumu kujua yupi ni mamluki ndio hapo utakuta hata wahuni wa kizungu au myayudi wanajipenyeza.
 
Iran bila Ayatollah haiwezekani, angalia jinsi mfumo wa Irañ jinsi ulivyo wa kiuongozi na kiimani utaelewa.

Ayatollah ni kiongozi mkubwa wa kidini ambaye kwao anafahamika na kuheshimisha.

Katika jamii zote za kiislamu hakuna jamii ambayo inayosoma sana dini yao kwa wingi kama jamii ya Shia. Hawa wanasoma sana dini hata kwa hapa Tz. Kwa kupitia mfumo wao wa kupeana elimu ya kidini nafasi ya Ayatollah imo humo! Hivyo ni vigumu sana kumtoa Ayatollah moyoni mwao!

Unaufahamu mfumo wa kiuongozi wa kimadaraka na kimamalaka jinsi ulivyo Iran? Unafahamu pia mfumo wao wa kijeshi upoje?
Hayo yote myahudi hayamuwazishi mnayajua wenyewe
 
Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Dah!
 
Mnashabikia vita kama mpira wa Simba na Yanga, mnajua lakini maisha wanayoishi huko Gaza?
 
Mkuu haingii akilini,yaani uuwe au ujeruhi watu wako,kama sababu yakuivamia nchi nyingine!!,navoijua Israeli huwa hawana mda hata wakutengeneza sababu,wakiamua uvamia tu,maadamu washapeleleza baasi,Hilo ni pigo toka kwa adui.
Rejea Septemba 11 kilichofanyika, lile shambulizi vyombo vya usalama vilijua mapema ila wakamute ili kupata sababu ya kuingia Afghanistan
 
Mkuu haingii akilini,yaani uuwe au ujeruhi watu wako,kama sababu yakuivamia nchi nyingine!!,navoijua Israeli huwa hawana mda hata wakutengeneza sababu,wakiamua uvamia tu,maadamu washapeleleza baasi,Hilo ni pigo toka kwa adui.
Kweli,kulikua na sababu Gani ya kuivamia Syria?
 
Nawewe jamaaa wenzio awapendi izi habari wao wanataka tu kusikia Israel inatwanga inapiga sasa kumbe nawao wananyooshwa!!! Afu kuna jinga moja linakuja na UZi wa mapambio Eti Iran ingekuwa ndio Israel kuna watu wangefuraiya mijitu mijinga kweli yani Iran ndio inaikosesha Aman israel miaka na miaka wkt uko Iran ipo tulivu swafiiii na full Aman sijui nivile Israel inavicha ukweli wa kipigo inachopekea ndio watu wajinga wanadhani Israel niseem nzuli kuishi. Kumbe apana tena Apana siwezi na atuwezi ishi ktk nchi time yoyote mnatakiwa mkimbilie kwenye mashimo kama panya. Israel ishafeli kwenye air DFNS. Kwasasa inaendeoea kupigwa au marekani itakimbilia UN kama ilivokuwa kwa Hezboollah
Umesoma vizuri uzi? Pitia pitia hapo kwenye lugha ya King Charles III
 
Myahudi Ndo anapenda hizo battle wale magaidi anawafanyia high pressing hacheki na kima
Sia Kama hii ndugu Israeli hajawwhi kupigana vita ngumu na ndefu hii na battling zote zimeshaazunguka anachoweza ni kwends kupiga jengo moja na kurudi na na hii haiwez kukupa ushindi hata kidogo na kumbuka kumbuka kurusha ndege kutoka Israeli Hadi Yemen ina logistic Kibao na ni support ya usa .
 
Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Umeona mbali. Watu wa aina yako tuko wachache sana.
 
Nawewe jamaaa wenzio awapendi izi habari wao wanataka tu kusikia Israel inatwanga inapiga sasa kumbe nawao wananyooshwa!!! Afu kuna jinga moja linakuja na UZi wa mapambio Eti Iran ingekuwa ndio Israel kuna watu wangefuraiya mijitu mijinga kweli yani Iran ndio inaikosesha Aman israel miaka na miaka wkt uko Iran ipo tulivu swafiiii na full Aman sijui nivile Israel inavicha ukweli wa kipigo inachopekea ndio watu wajinga wanadhani Israel niseem nzuli kuishi. Kumbe apana tena Apana siwezi na atuwezi ishi ktk nchi time yoyote mnatakiwa mkimbilie kwenye mashimo kama panya. Israel ishafeli kwenye air DFNS. Kwasasa inaendeoea kupigwa au marekani itakimbilia UN kama ilivokuwa kwa Hezboollah
Umeshahamia huku ? Tumaini limebaki Yemen? Du kweli Dunia Duara
 
Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Wacha akili za kitoto eti mipango ya Israel, yani we uruhusu watu waje waashambulie kwako wakuwache uchi. , afu useme ni plan zangu. Kesho utagongewa mke wako afu useme niliwatega watu ili nikalipe 😄 🤣

Akili za msalabani ziko njia panda kama misalaba yao.
 
Unajua kuchamba balaaah. Samahani wewe ni lishangazi la Keko, Buza, Manzese, Kizuiani au
 
Back
Top Bottom