unamaana hata hao wanaojiita outh ni mamluki wao tu wanajivisha kanzu na vilemba ila hii inawezekana kutokana na tabia ya hao waasi kuvaa barakoa au kitambaa usoni kiasi huwezi jua nani ni nani hadi inakuwa ngumu kujua yupi ni mamluki ndio hapo utakuta hata wahuni wa kizungu au myayudi wanajipenyeza.Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon