Natural girl
Member
- Jan 31, 2021
- 20
- 20
😀😀😀poleHii kitu ndo napambana nayo aisee inanikata sana maini kibaya zaidi tulikuwa marafiki kabla ya kuwa wapenzi so tulijenga bond flani ivi amazing
kwa mara ya kwanza nimeshindwa kabisa ku move on mapenzi yanauma afu panapouma hapaonekani
Nimemwachia Mungu,Mungu naye ameniachia mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hyo syo sababu mkuu
Na sko hvo ata ila tuliachanshwa kwa sababu za kikabila tu japo tulipendana Sana na hyo ndio sababu ya wazazi wake wakaamua kuntafutia mtu mwngne na kupanga mipango ya ndoa kwa haraka
Kuna huyu tulikuwaga friends tuu, tukaja tukawekana dudu, dah! si tukawa wapenzi tuka share share vitu kadhaa kibiashara na malengo meengi, ghafla mwenzang naona ananiambia hana amani eti turudi kuwa marafiki wa karibu kama zamani.
Nimemuitikia tuu ila naona haiwezekani, tunaweza kuwa marafiki ila sio wa karibu, nataka kumsahau na kusiwe na ukaribu, iwe simu inazungumzia buiashar tuu na sio mengine ila kitanzi ni hizi business, ambazo tulishare....
huo mfano si valid gari na mahusiano havindan kwan gar linahitaj direct cost,ila hawa wanawake unajichagulia tuSasa mbona unajiliza huku mkuu [emoji3][emoji28]magari yanaweza kuwa mengi mjini na usimiliki hata moja ndio hivyo kwenye mahusiano pia
Kuna ile mlikua hamuwezi pitisha siku bila mawasiliano ila taratibu mawasiliano yakaanza kupunguaMm nilishawahi kuumizwa na breakup moja tu ya 2017dec.
Baada ya hiyo sidhani kama kuna nyingine itauniumiza.
Afu siku hizi mbona mambo ya kuachana yanabadilika kidigital zaidi? Yaan ni simple mno .
Mara unastukia mtu hajakutafuta siku inapita nyingine inapita ndo basi tena.
Mm nahisi siku hizi tunaachana kisomi zaidi bila kuumizana wala maneno.
Au nadanganya ndugu zangu? Nyinyi mnaonaje breakups za siku hizi?
Njoo tufarijianeNipo kwenye situation iyo kwa Sasa mkuu mazoea ni mabaya sana
Jamani ya nini kuutesa moyo wakati uwezo wa kua nae unao? Rudiana nae tuHata mimi napitia hiyo hali ingawa mimi ndo nlitengeneza mazingira ya mahusiano kuvunjika sababu nlimsoma kisaikolojia aliniweka kundi la friendzone so nkatafuta sababu ya kutibuana ingawa nlimjenga sana maana nlimkuta na vidonda vya moyo vingi sana alivyopata kwenye relations za kisasa alizopitia
So baada ya kupona nikaona kama alipunguza ile passion alokua nayo kwangu,nikaanza kujitoa mdogo mdogo huku napitia na shauri za humu
Kuna siku aliniomba pesa flani nkaona hapa ndo ntafute sababu ya kuachana nae
nkamjibu "Pesa nlonayo hapa kuna msala nimepata kuna dada nlianzisha nae mahusiano baada ya kuona hueleweki sasa kanambia kapata ujauzito na unamsumbua so nataka niende nae hosptali tukacheki imekaaje hii issue".
Asee! alilalamika mno ila mwisho wa siku nikamuelewesha na tukaachana kwa amani ingawa huwa anamcheki mshkaji wangu kwenye simu ila binafsi nshafuta namba zake na yeye hanitafuti.
Kiukweli nammiss sana na haiwezi pita siku sijamuwaza ila siwezi rudiana nae maana ana changamoto nyingi za kimaisha na kibaya siwezi mpa unafuu ingawa natambua me kwake ni mmoja ya watu nlomuachia legacy ya kivyangu vyangu ambayo Mola amenijaalia.
Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.
Relation ship ni kazi isiyo na mshahara .Mara ujilize mara unune mara ufungashe mara urudi mara ulie ni mtu mmoja .Ndio maana Ndoa inaitwa institution .Mara usali ni unahangaika wewe mpaka KIFO .So relationship na ndoa ni kazi Ngumu kuliko kazi zote .Ukiachwa shukuru Mungu move onYan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.
Jamani ya nini kuutesa moyo wakati uwezo wa kua nae unao? Rudiana nae tu
Umeona alichosema mleta mada? Break up is hard, sasa wewe unaanzaje baby?Ahsante usiku mwema pia rafiki
[emoji23][emoji23]mze nyoosha tu lugha kwamba kuachwa kubaya,,demu kakutema kaenda kwa bwana anaekuzidi kila kitu huo mhaho anautoa wapi unazan,Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.
Moyo haunaga sugu mkuu, trust me.Kuna mmoja nilimpenda sijawahi penda vile ikafikia timea akaanza kuniona mimi kama vile boya ana cheat anatuma picha zake za uchi namkamata nasamehe nikawa nashindwa kumuacha
Siku moja sijui kapata jitu gani likamchanganya anakuja mara "siwezi date na wewe nakuzidi miaka miwili" we mdogo wangu na time hiyo nimemkula kinyama pamoja na dharau zake na show nilikua namuweka kinyama nikawa nambembeleza akagoma nikatulia kimya ingawa nilikua naumia sio kawaida aisee
Badae akaja tena nimsamehe tuendelee nikakubali kwa sababu kale kairak nilikua nakapenda acha kabisa ....baada ya muda nikaona tabia ni zilezile na mimi nikapiga chini na mpaka leo nilikua naona nimechelewa na hua sielewi moyo na akili vilipata vipi ule ujasiri wa kiwango kile ilikua noma sana na mpaka leo kinanisumbua kinataka kugegedwa na mimi juzi kinasema tukutane dodoma na mimi sipo huko sasa hivi na wala hakuna guts za mimi kuonana nako
Toka hapo sidhani kama ntaumia vile tena haitatokea nahisi kupata sugu moyoni ndio maana sasa hivi huyu wa sasa niko nae kwenye uhusiano mguu ndani mguu nje manake kuna dalili simuelewi na nimeanza kumuahsiria kumuachaView attachment 1765369
sure.especialy kama mmeshare a lot of things together. mmekuwa in love for a while na familia zinawahamamamu.
its hard to let all that go. but a man got to do what a man got to do.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,kama umeoa epuka michepuko bora utulie na mkeo au ununue Malaya wa mitandaoni,kitaa. Kama una maisha wanawake wanawinda kweli kwa kutumia nguvu za giza chief,,unaweza kuacha mke mpaka watu wakishangaa kumbe umepigwa spana.Kamati gani tena hizo tujuzane kiongozi [emoji28]
Basi aendelee kuutesa moyo wake[emoji1787]Anakimbia changamoto za huyo demu [emoji23][emoji23] mkuu hataki matatizo tatizo.
Asante mama naja nipo lonely balaaNjoo tufarijiane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,kama umeoa epuka michepuko bora utulie na mkeo au ununue Malaya wa mitandaoni,kitaa. Kama una maisha wanawake wanawinda kweli kwa kutumia nguvu za giza chief,,unaweza kuacha mke mpaka watu wakishangaa kumbe umepigwa spana.