Breakup ya kwanza ilikuaje?

Hakika mkuu, ukisha Move on hakuna hisia tena, mpk inafika mda unajishangaa hvi ni mimi nilekua nateseka. Hakika mda hutibu. Ila wengi uvumilivu wa kstahimili maumivu ya kuacha na kuachwa hushindwa.
 
Stori nzuri kikubwa mko sawa na wote. Inadepend na situations, na hapo mlikua maskuli wote. So kama wote mmefikia hamna noma, that's how things should be. Somethings are not meant to work out. Nahisi hizo zote zilikua learning curves mpk leo uwe stabe.

Na iwe kheri mkuu
 
Niliyaanza baada ya form IV, kale kalikizo. Yalinigharimu. πŸ˜„
Mzee uliyapuyanga unachanganya mapenzi na shule? 🀣 mm kamwe sikuwahi chukulia serious. Mm kale ka likizo nilienda twiti ila mademu wa twiti niliwachezea sana🀣 baada ya kumaliza nikawasahau.. advance nilijua shughuli ipo
 
Kwender πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lamomy chama kubwa ARSENAL
Hufai ng'oo kuingia chama la the gunners. The Gunners are Real not fake jambakus like you 🀣
 
I get you bro, am sure she had no idea of what you were going through, maybe she was scared? But love is fearless in the midst of the ocean of fear. You weren't matured enough to handle them emotions.
 
Nipo hii stage pia, I give no fu*k about love. Sio kwamba si care but sijawa na attachments kama zamani. Hakika unakua carnivorous 🀣
 
Asante mkuu ndo hivyo, ila maisha lazima yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…