Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Duu pole sana. Huyo walikuwa na mahusiano kitambo tu.Nilipokonywa na boss wa wizara ndugu yangu mambo ya kuhamia Dodoma hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu pole sana. Huyo walikuwa na mahusiano kitambo tu.Nilipokonywa na boss wa wizara ndugu yangu mambo ya kuhamia Dodoma hayo
Yes asee...Duu pole sana. Huyo walikuwa na mahusiano kitambo tu.
Duuu! Pole sana mkuuNilipokonywa na boss wa wizara ndugu yangu mambo ya kuhamia Dodoma hayo
Nilishapoa na kujifunza vitu vingi muhimu kupitia ndoa hiiDuuu! Pole sana mkuu
Hakika mkuu, ukisha Move on hakuna hisia tena, mpk inafika mda unajishangaa hvi ni mimi nilekua nateseka. Hakika mda hutibu. Ila wengi uvumilivu wa kstahimili maumivu ya kuacha na kuachwa hushindwa.Mwaka jana mwezi wa 07 niliumia kinoma ila nilikubaliana na hali , nikamueleza asiwahi kunitafuta tena jina langu aliweke kwenye list la majina ya watu wake aliofahamiana nao na wakafa kwamba hataniona tena, na yeye nikamwambia asinitafute hata iweje.
Baada ya hapo nilifuta namba yake ya simu na kumbukumbu zote lakini haikusaidia ndani ya miezi mitatu mbele bado niliendelea kupata maumivu kilicho nisadia sikuwahi kukariri namba yake na kwenye simu niliifuta kwahiyo ilinisaidia kuendelea kuwa mbali nae.
Sasa hivi nimeshamsahau mwaka jana mwezi wa 12 alinitumia meseji ya kunitakia heri ya kuzaliwa sikujibu, mwaka mpya akanitumia meseji sikujibu , mwezi mmoja uliopita alinitumia meseji ya kunitakia ramadhan njema sikujibu pia meseji zikiingia nazifuta na namba yake hapohapo.
Stori nzuri kikubwa mko sawa na wote. Inadepend na situations, na hapo mlikua maskuli wote. So kama wote mmefikia hamna noma, that's how things should be. Somethings are not meant to work out. Nahisi hizo zote zilikua learning curves mpk leo uwe stabe.Nilikua na Binti mmoja anaitwa Neema sintokuja kumsahau aliniumiza kiukweli, akaniacha akaenda Kwa bishoo mmoja aliekua na swagger kuliko mimi, ingawa kipato nilikua namzidi yule msenge wa NIT, kisa kafata mm dini nyingine nayeye anataka msabato mwenzake. Sijawahi kuumia kama vile, lkn nililipiza Kwa kumto..mba.. binamu yake. Yule manzi nilimpa Kila kitu lkn alinipiga chini.
Kuna manzi mwingine huyu ndioo nilimpenda kinoma , tulikutana advance darasa la PCM, Mtoto kutoka Manzese mtoto cheupeee, alikua na mauno hatariii 😊. Halafu alikua vizuri kichwani mtoto wa kizaramo plus kikwere alikua na uch..mtamuu balaa halafu alinipenda kinoma pia, lkn ilivyofika 20021 akanipiga chini akaolewa , nilisikiliza nyimbo zote za DIAMOND za mapenz lkn haikusaidia niliumia kinomaa.
Demu aliolewa na Mjeda CAPTAIN ambae Sasa hivi msenge ni Meja, mpaka Sasa anasoma masters ughaibuni, na hachoki kuniambia alinopenda na ananipenda, namara Mojamoja alikua ananitumia miamala😃.
Lakini namshukuru Mungu baada yakuachana nae nilikuja pata Hilo shavu, nabahti mbaya yeye ndio nilimuandikaga mdhamini wangu kwenye CV kipind hicho, kwahio alitafutwa aelezee ananifahamu vipi, kiukweli alinielezea vizuri tu namshukuru kwa hilo.
Jambo baya kwao wote wawili walitoa Mimba zangu, nalicha yakuolewa hawajahi pata watoto mpaka sasa. Nafikir Mungu ananilipia Kwa namna nilivyowapenda .
BTW Sasa hivi nakitoto changu nimekizidi miaka 9 ndio nakipiga piga na InshaAllah mwakani ntavuta jiko.
Lamomy utokee kwenye harusi.
Kwender 😂😂😂😂Huna jipya 🤣 nishakufuta kwenye list, za hot ladies wa jf.
Mzee uliyapuyanga unachanganya mapenzi na shule? 🤣 mm kamwe sikuwahi chukulia serious. Mm kale ka likizo nilienda twiti ila mademu wa twiti niliwachezea sana🤣 baada ya kumaliza nikawasahau.. advance nilijua shughuli ipoNiliyaanza baada ya form IV, kale kalikizo. Yalinigharimu. 😄
Weka hiyo kichwani we lialia mapenzi 😂😂😂Hufai ng'oo kuingia chama la the gunners. The Gunners are Real not fake jambakus like you 🤣
I get you bro, am sure she had no idea of what you were going through, maybe she was scared? But love is fearless in the midst of the ocean of fear. You weren't matured enough to handle them emotions.Mwaka 1964 naingia Tabora Boys nikakutana na Stella mtoto wa sekandi masta. Hata sijui ilikuwaje lakini aliponipiga chini kidogo niache shule aisee. We were just young innocent souls searching for our place in this vast universe. Dah! Mapenzi nyie acheni tu!
Nipo hii stage pia, I give no fu*k about love. Sio kwamba si care but sijawa na attachments kama zamani. Hakika unakua carnivorous 🤣Mimi ilinikuta 26 July 2022 na ilinichukua miez 8 walau kufanya mambo mengine Kwa ufanisi...Alinambia sijawahi kumfanyia chochote cha kumfanya anikumbuke.
Pamoja na yote hayo siku niliyo sema am free soul now alianza kunitafutatafuta ovyo ovyo lakini sikuwa namshobokea hata Kwa theluthi..
Now nimekuwa matured kiasi demu anaweza taka tuachane na isiniume hata kidogo nimekuwa mtu hatari sana naweza kumuacha mwanamke pale tu akifanya dharau yoyote Ile kwangu na nikagundua hii ni dharau
Ni vizuri vitu hivi vikikukuta ukiwa kijana utakuwa Carnivore mapema sana [emoji1787]
Nilimove sikutaka kutembea na maumivuPole sana, ulisha move on?
Asante mkuu ndo hivyo, ila maisha lazima yaendelee.Pole sana mkuu,hakuna kitu kinauma kama mtu unayempenda kukuambia hakuona faida yyte kwenye mahusiano,usiombe yakukukte,aisee nimeumia kwa sababu nami niliambiwa maneno kama hayo,kuwa hakuona faida yoyote kuwa nami na Wala hawezi kunikumbuka kwa chochote duh!
Umri wa baba yangu mzazi huo,Shikamoo Baba,,I will turn 78 in December this year. I am blessed! [emoji1545]