Ni wajinga ndio wanawahishana, binadamu anayejitambua hana muda huo si mnaachana kwa wema kila mmoja aendelee na mambo yake 🤣🤣🤣🤣Pamoja na hayo bora kafua mikojo lakini aliendelea kupumua(hajafa) ila nyie wa miaka hii kukojoa hamkojoi ila mnawahishana kwa muumba🤣🙌🏻
🤣🤣🤣🤣🤣Nilizimia mara tatu.....
Wasingewahi kunipepea nlikua nakwenda.....🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenyekiti acha uongo
Kipi kilisababisha mkuu2012. July, 25
Majira ya saa 4 hivi asubuhi, nikaandikiwa text naambiwa mimi na wewe tumeachana. Ilikuwa ni kama mzaha tu, nilibembeleza mno hadi kumuelezea sister wake wapiii!. Niliteseka kwa miaka miwili nikapona. Ulikuwa ni wakati mgumu mno sijawahi pitia na sitowahi pitia maishani mwangu. Nilikuja kufahamu baadae kilichosababisha ikawa hivyo, nilishukuru kwa kunipitisha kwenye tanuru lile qmamae.
Nyumbani kwao kulikuwa na hali ngumu mnooo! Akawa amechaguliwa chuo akaenda kibishi sasa namna ya ku sustain maisha ya chuo ilikuwa ni kazi ngumu sanaa! Hiko kipindi sikuwa na shughuli rasmi ila nilijitahidi sana kumsupport upande wa chakula. Nilimsupport sana sababu najua alichokuwa anapitia na ofcourse ninamjua nje ndani, ikatokea mshua mmoja akamuelewa akawa anahudumia excessively.Kipi kilisababisha mkuu