Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ni wajinga ndio wanawahishana, binadamu anayejitambua hana muda huo si mnaachana kwa wema kila mmoja aendelee na mambo yake š¤£š¤£š¤£š¤£Pamoja na hayo bora kafua mikojo lakini aliendelea kupumua(hajafa) ila nyie wa miaka hii kukojoa hamkojoi ila mnawahishana kwa muumbaš¤£šš»
Ya nini kuforce mpk mfikie kuuana na viumbe vya Mungu vipo vingi.!!