Breakup ya kwanza ilikuaje?

Nakumbuka pia nilichezea supp ya business statistics semester hiyo hiyo 😀😀
 
Wazo zuri,
 
Umevunja had line kwasababu ya binadamu mwenzio?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23] acha mwanangu imepita miaka 5 now haitakuja kutokea kuvunja lain kwa ajili ya mwanamke
 
Wanaume huwa tunaumia mara moja tu na hii ni kutokana na kwamba tunachelewa sana ku move on tofauti na wanawake baada ya hapo sisi ndio tunaumiza
 
Kwenye hiphop hapo na mimi nimo, ngoma za 2pac zote zipo kichawni. Jamaa alinimotivate sana ku move on... Hasa ngoma ya "life goes on"
 
Wanaume huwa tunaumia mara moja tu na hii ni kutokana na kwamba tunachelewa sana ku move on tofauti na wanawake baada ya hapo sisi ndio tunaumiza
Kwa hizi comment mnaumizwa sana bana 🤣🤣🤣
 
Hapo moyo wangu kwatu....yaani ukipata nafasi ya kwaumiza usituangushe 🤣🤣🤣minya hadi mapu...lizo
🤣🤣🤣 ni ya kugonga mbele na nyuma mpk akili ziwakae sawa!!
 
[emoji23][emoji23] acha mwanangu imepita miaka 5 now haitakuja kutokea kuvunja lain kwa ajili ya mwanamke
Acha ujinga unaharibu mawasiliano kwa kiazi mmoja mliyekutana ukubwani we vipi?? 🤣🤣🤣
 
Acha tu wengi wanaotuumiza tulitegemea furaha kutoka kwao [emoji29]
Msichokijua furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe, sasa hivi mpz wako akikutumia msg soma kwa herufi kubwa na usisome kwa hisia uone km utaumia 🤣🤣🤣
Sifundishi tena hii ya mwisho
 
Nimelia msiba wa mama yangu inatosha sio mtu mzima mwenzangu mwenye meno 32 na mengine yaliyotoboka na kuoza anilize kijinga..!! 🤣🤣🤣🤣
Kuna kitu kinaitwa intimacy hiki kitu kanakuja unapoingia kwenye mapenzi ya dhati na kina nguvu sana. Kumbuka mpk uingie kweli sio umetamani. Achana na kutoa mihemko hii ipo deep zaidi. Ukiingia hapa ukaachwa usipolia wewe sio mtu ni roboti🤣. Mimi nilikua kama wewe mpk yalipo nikuta.
 
Acha ujinga unaharibu mawasiliano kwa kiazi mmoja mliyekutana ukubwani we vipi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bila hivyo ningeshindwa ku move on na kilichoni saidia ku recover nilianza kupenda mazoez sana mpaka leo marathon zote wananijua [emoji23][emoji23]
 
Kujiendekeza we jamaa boya wa mapenzi 🤣🤣🤣
 
Humo Ana sema there is a heaven for a nigga
Jamaa alikua anaelezea mwanae alivyo uwawa hasa kipind kile shooting kwa Black American ilikua kawaida coz of racism. Sasa mm nilikua nachukulia maumiv aliyopitia najipa ilinipate motivation. Nilipiga gym ambayo mpk leo nawazaga hivi ulemoto nilitoleaga wapi🤣 hakika yule manzi alinibadilisha.

Favourite line ilikua
2:00 in tha morning and we still high ass*d out,
screeming thug till I die before I pass out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…