Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Nilitumia sana ila kwa sasa nina breakup karibu 50 na wala siwazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana na inabidi kuvumilia....😒Every one deserves better! Ila sometimes it takes going through pain!
Tuelezee kidogo mkuuAcha kabisa
I second that..Break up? What break up? Mack Daddies don’t break up….
[emoji1787] [emoji23]Yangu inahitaji uzi wake maalumu kabisaaa muje muisome mtoe comments then mnitukane yaishe.
Ilikua ni hatari sana unahisi moyo umebandikwa jikoni.Tuelezee kidogo mkuu
Ngoja ni rudi nyuma kidogo....Kwanini mliachana au uli amua kukiwasha. Kwanini
Hahaha pole sanaIlikua ni hatari sana unahisi moyo umebandikwa jikoni.
Asikwambie mtu mpaka upitie.Ali niandikia sma ndefu ya break up.kusema ukwel siku ijibu hadi kesho..ichi kitu kili muuma sana asee hapa nili fanya comeback badala ya yeye kuni acha nkawa kama mimi ndo nme muacha[emoji28] maana ali irudia iyo sms kama mala 3 akizani labda ni mtandao sija iona aka tuma na whatsup nika bluetick.
Maumivu ya kuacha na kuachwa yana ka utofauti asee
🤣🤣🤣 alikuwa aanataka akuumize huyo, usichukulie maanani.Dah mie nadhani bado maana nimewza hapa idadi ya pisi nlizopukutisha na kupiga chini pamoja na zile zilizonipiga chini sijawahi umia zaidi ya mmoja tu ambaye siku tunalimana maneno ya kumwagana akaropoka kuwa mm sijui show na alikuwa ananivumilia tu...dah asikwambie mtu nliumia mwezi mzima badae nkasema ntamtokea tena Ili akiingia kingi aisome namba ila ndio hivyo alishastuka.Kifupi yule manzi ananiuma hadi Leo na Sio Kwa lingine bali neno lake like.