Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida kubwa ya BRELA mishahara yao inatoka kwenye bajeti kuu na si mapato wanayoingiza wao; ili hawa BRELA wajitambue, wasipelekewe hela za kuendesha ofisi na mishahara badala yake watumie pesa zitokanazo na shughuli za BRELA. Miaka yote kabla ya ORS kampuni zilikuwa zinapeleka ritani na zinapokelewa na kulipiwa sasa iweje kuziingiza kwenye ORS zionekane zina shida?Ukiona hiyo System ya Brela ilivyopambwa na kuandikwa vitu vya maana.... Unaweza kufikiria kuwa vilivyomo ndani vina akili sana kumbe Uozo mtupu.
Uncle Magu pitia pale Brela kumbe unatupiwa lawama nyiiingi, kuhusu biashara - Wahuni wameisha jenga ngome yao pale Brela. wako kwa ajiri ya Maslahi yao, matumbo yao tu pale wala sio kazi ya Umma, Brela imefikia hatua kuombwa rushwa ni hadharani tena bila uoga kabisa.
Pole kijana uliyekumbwa na kadhia hii .... Wanasheria wa ma-kampuni najua mnajisikiaje na Brela yetu (Asanteni kwa kuliweka hili wazi)
BRELA NI SHIDA - NI USEMI ULIOZOELEKA SANA KWA WANASHERIA WA MA-KAMPUNI WANAOSHINDA PALE BRELA KWA AJIRI YA SYSTEM
Hivi huyu Waziri mpya wa Viwanda na Biashara - Joseph George Kakunda anajua kama Brela iko chini yake na anatakiwa kufanya kazi zake pale Brela.
au hata hajui majukumu yake ni nini ?
Mkurugenzi Mkuu wa Brela ndio hopeless Kabisa.... Unaingia Kazini kila siku lakini wateja wako ambao ndio wafanya Biashara na walipaji kodi wakubwa hutaki kukutana nao.... What the Hell are you doing in the Office au ndio you have team it up to solicit bribe from Investors.
Nashangaa sana kuona System iliyowekwa Brela imegeuka kuwa kikwazo kikubwa kwa wafanya Biashara, Ku-update information kwenye System badala iwe jambo la nusu saa umemaliza sasa limekuwa Jambo la Mwaka Mzima, na huwezi fanya kitu kingine hadi umemaliza ku-update information kwenye System, hivi mnajua mnainyima serikali kodi kiasi gani kwa ujinga wenu huu nyie Brela? Yaani Staff wa Brela wanafikiria wanajua sana kuliko hawa Entrepreneurs/Investors wenye ma-degree kibao, na wamejiajiri pia wakaajiri watu wengine kibao.
Brela badala ya kumwambia mtumiaji wa System kuwa unatakiwa kuwasilisha Nyaraka zifuatazo na ukaziorodhesha hapo chini zoote hata kama ni nyaraka 20 na ukamwambia mtu anatakiwa afanye kitu gani ? wewe unamwambia mtu aweke nyaraka moja kama vile amemaliza ? akiisha-upload hiyo nyaraka moja unamrudishia tena kuwa aweke tena nyaraka nyingine, kwa nini usimwambie aweke zote ? Ujinga sana baadae unamwambia aweke nyingine tena, na kila nyaraka inakaa huko kwenu zaidi ya wiki mbili ndio mnarudisha kwa mtumiaji... what the hell are you to consume investors working hours ??
Yule Mzee aliyepiga Kelele hapo Ofisini kwenu muoneeni huruma ametoka Mkoani kuja kushughulikia swala hilo tu baada ya kuona anacheleweshwa, mnajua ametumia pesa kiasi gani kwa kulala Hotelini, kuja na kushinda hapo kwenu kila siku, ameishakaa hapa Dar es Salaam zaidi ya mwezi mzima.
Sasa ndio nimeelewa kuwa kwanini wafanyabiashara wengi wanafunga Biashara wanakimbilia Rwanda na Zambia kumbe kisa ni Brela - JPM please pita pale Brela lile liwaziri uliloliweka na likurugenzi lake ni kazi Bure kabisa. Fukuza wote hapo hata hao wafanyakazi wa Brela rushwa tupu fukuza... vijana wako wengi wenye Degree na Masters za Business Administration huko mtaani watakushukuru sana ukiwaajiri.
Ushauri kwa Mkurugenzi wa Brela
1 - Toka hapo Ofisini kwako kila siku na uanze kuuliza wateja wako mmoja mmoja anahitaji nini utashangaa sana.
2 - Fungua Ofisi zote hapo/bomoa kabisa hayo ma-partition yenu, yanaficha walarushwa tu... hao Staff wako wakae na wateja uso kwa uso mezani,
akiinuka mteja mmoja anakaa mwingine anahudumiwa
sio wamejifungia wanakunywa chai masaa yote na kupiga umbea huko Ofisini
3 - Walipa kodi sio hao wahindi pekee mnaowaita Ofisini mnawahudumia alafu wa-Bongo mnawadharau... Hudumia watu wote sawa.
4 - Hakikisha unawapa malengo na namba hao Staff wako.... inaonekana Staff wanapiga stori na kula lunch tyuu jioni wanaondoka.
Ushauri kwa Waziri wa Viwanda na Biashara
1 - Tembelea Brela mara kwa mara... kwani ndio sehemu/kitovu kikuu chaa kazi zako, kagua kazi hadi za Junior Staff wa Brela na usiogope mtu
2 - Hakikisha unamuwekea Targets and Numbers huyo Mkurugenzi wa Brela hana mawazo ya kazi huyo anavyoonekana.
3 - Ongea na wafanyabiashara mara kwa mara watakueleza mengi sana.
Ushauri kwa Rais -JPM (The Field Marshall)
1 - Huku Mtaani kuna vijana wazuri sana kwenye kazi kama watu hawajui nini cha kufanya piga chini ajiri wataalaam walioko mtaani ni wazuri sana.
Hata wakurugenzi wapo pia Mtaani utawapata.
2 - Tuma timu yako ile ya kazi watakuthibitishia haya yaliyoandikwa hapa.
Naamini nimewakilisha vyema - Kuna watu najua wakiiona hii Taarifa watakuwa wamefarijika sana na wengine watakuwa wameumia hasa waliokuwa wameweka ndoano zao kunasa rushwa na kwa kuwa walizoea kuwaumiza wenzao
ANAYEJISIKIA KUTUKANA ATUKANE KWA RAHA ZAKE
Today the Volcano Temperature has decreased to 25,980 Degree Centigrade
View attachment 1038815
Ukiona hiyo System ya Brela ilivyopambwa na kuandikwa vitu vya maana.... Unaweza kufikiria kuwa vilivyomo ndani vina akili sana kumbe Uozo mtupu.

hakuna mtu mwenye email ya ikulu au ya waziri wa viwanda hapa tufanye kitu wazee au namba tu inatosha
Shida kubwa ya BRELA mishahara yao inatoka kwenye bajeti kuu na si mapato wanayoingiza wao; ili hawa BRELA wajitambue, wasipelekewe hela za kuendesha ofisi na mishahara badala yake watumie pesa zitokanazo na shughuli za BRELA. Miaka yote kabla ya ORS kampuni zilikuwa zinapeleka ritani na zinapokelewa na kulipiwa sasa iweje kuziingiza kwenye ORS zionekane zina shida?
Mimi naamini huu mfumo haujapokelewa "positively" na hao maofisa wa BRELA; matamanio yao ni mtindo wa zamani uendelee ili wapate kitu toka kwa wateja badala ya hizi huduma za ONLINE ambazo hawamwoni mwombaji
Inasikitisha sana hata account registration ya BLERA ni shida siku hizi. Sijua wanamtafuta nini JIWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Brela wanavisingizio vingi mno, mara TRA mtandao uko chini unajiuliza walikabidhiwa dhamana wakwenda ofisini kufanya nini? Hawapo kikazi wapo kusubiri mshahara tu
Shida kubwa ya BRELA mishahara yao inatoka kwenye bajeti kuu na si mapato wanayoingiza wao; ili hawa BRELA wajitambue, wasipelekewe hela za kuendesha ofisi na mishahara badala yake watumie pesa zitokanazo na shughuli za BRELA. Miaka yote kabla ya ORS kampuni zilikuwa zinapeleka ritani na zinapokelewa na kulipiwa sasa iweje kuziingiza kwenye ORS zionekane zina shida?
Mimi naamini huu mfumo haujapokelewa "positively" na hao maofisa wa BRELA; matamanio yao ni mtindo wa zamani uendelee ili wapate kitu toka kwa wateja badala ya hizi huduma za ONLINE ambazo hawamwoni mwombaji
Hi i kitu inaitwa BRELA achana nayo kabisa
Nimefanya updates za kampuni ya mteja ni mwaka sasa hakuna kilichofanyika
Kila siku wanakurudishia Docs zako wanakuambia rekebisha hili au tuma hiki na hiki
Ukituma wanakaa wiki mbili kukujibu tena kuna hiki umesahau tunaomba ututumie au doc uliyotuma haikubaliani na system yetu au ni kubwa sana jaribu kufanya hiki na hiki
Mwaka mzima updates ya kampuni haijakamilika na mteja alitaka kusajili another sister company.
Yaani ni balaa BRELA Ndio inafuata kwa rushwa sasahivi baada ya Traffic yaani mtu unaambiwa kusajiri kampuni awe na kitambulisho cha nida ukienda nida anaambiwa Cheti chake cha kuzaliwa lazima ki updatiwe Rita Ukienda RITA unaambiwa nenda mkoa uliko zaliwa uanzie kwa mwenyekiti wa mtaa..Brela, NIDA, UDART/DART... Hizi ndizo taasisi za hovyo kabisa kuwahi kuwepo hapa tanzania kwa awamu hii.
Nashindwa kuelewa wanafanyaje kazi hizi taasisi..
Mkuu ... unachosema ni kweli 100% ukianza kusajiri au ku-update Kampuni wanakusumbua sana, Document moja unaweza ambiwa uirudie kuijaza hata mara saba, na baadae chukua ile waliyoisema uliiyokosea ya kwanza kabisa utashangaa wanaikubali, sasa hapo ndio utangundua kuwa hawajui wanafanya nini hapo BRELA... sasa nilichikisikia na nikaenda kukithibitisha BRELA ni kwamba... ukienda ukawaona wale maofisa ukawaambia utawapa kitu kidogo, nayo wamepanga bila ya laki mbili hawakusaidii, ukiwapa laki mbili fasta hata kama documents zinamakosa tayari wanakimbiza na kukamilisha wenyewe bila hata uwepo wako wewe.
HakunaApart from Brela, naomba kujua ni taasisi gani ya serikali inayo fanya kazi vizuri? I mean wafanyakazi wapo committed, wanajali muda wa mteja nk
Mkuu ni balaa
Unaweza rudia the same docs hata mara kumi
Na tatizo hawakupi jibu kwa muda unaotaka ni mpaka wakae nazo hata wiki mbili au hata mwezi ndo wanakujibu ile doc uliyotuma ina makosa tafadhali rekebisha hiki na hiki
Na tatizo sasa docs zote wanazo badala wangeziweka kwenye system ili zile ambazo hawana wakuambie ujaze au uwatumie unaanza kujaza kuanzia Memart mpaka Annua Returns za miaka ya nyuma au changes zozote za kampuni ambazo tayari ulishapeleka kwao
System ina matatizo kibao na kuna sehem eti ukikosea mpaka IT wao atoke sijui Netherlands kuja kurekebisha au kufuta
Mkuu.... wale BRELA wanatumia ujanja tuu, haiwezekani mtu wa System yaani IT atoke Netherland, wanakwambia hivyo ili ujiongeze tuu. Sasa Kama hadi atoke Netherland kwanini wao wanakitengo cha IT pale kwao, je huyo mtu atatoka Netherland mara ngapi kwa siku maana watumiaji wa mtandao wako wengi na wengi wanapata matatizo aina mbalimbali kwenye Mfuno huo wa BRELA.
Pole sana Kiongozi... lakini mimi nasema muda ni sasa, tufanye kitu watolewe hapo walipo na waajiriwe watu wengine kabisa.
Kabisa mkuu
Niliuliza hao IT wao wanafanya nini kama tatizo dogo tuu la kufuta account iliyokosewa mpata IT atoke nje
Na kuna mmoja aliniambia kuwa yeye baada ya kupata shida kama hiyo walimwambia awasilishe docs manual wakamsaidia maana client wake alikuwa anaomba working permit na muda wake ulishaisha
Walimfanyia kwa kuwa aliwafaham na ikawa pona yake
Ila kwa ssis sasa imekuwa hadithi toka May mwaka jana mpaka leo hakuna updates yoyote iliyomalizika