Kusajili kampuni kwa sasa Brela ni mtihaniMkuu.... Huyo jamaa waliomwambia awasilishe document ukute aliwaachia pesa, wale hawafanyi kazi bure hata kama wanakujua, Sijui kwanini Rais John Pombe Joseph Magufuli hajapata hii taarifa wakati kila siku watu wanawalalamikia. au wasaidizi wa Magufuli nao pia ni wazembe pia ?
Kwanza kitambulisho cha NIDA ambacho nacho ni mtihani kukipata
Pili mpaka uje umalize process nzima ya Memart na kuupload documents na jina likubaliwe ushamaliza miezi kadhaa
Wakati kipindi cha zamani one week ushafanya search ya jina na ushasaini Memart zakjo na accompanied forms ushazituma Brela na kurudi unaanza mchakato wa business license na TIN na mambo mengine
Ila kwa sasa hata mwezi unaweza umalize wakati unatafuta kusajili kampuni