BRELA system yenu ni kuharibu kazi au mmetega rushwa?

Pale watu wamewekwa kiundugu undugu. Kazi hawafanyi shida tupu? Yaaani hii Nchi shida sana, ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu... ni kweli kabisa kwa sababu kama umeingia kwa Qualifications huwezi haribu Carrier kwa kujibu watu vibaya namna ile... watakuwa hawajasoma na wameletwa na ndugu zao tu hapo.
 

Mkuu Pole sana... Navyofahamu Mwezi itakuwa ni kupata jina tu, bado sasa ujaanza kuzungurushwa, nenda rudi nenda rudi hadi miezi sita itaka uko hapo hapo tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…