Brenda: Mwenye malalamiko dhidi ya Heche awasilishe kwenye chama, tupo tayari kuchukua hatua

Peleka ushahidi ndipo asimamishwe. Kwahiyo unataka asimamishwe kwa maneno yako ya kwenye kanga mnayotoa kwenye jambo tv? Hovyo kabisa
Kusimamishwa siyo kufukuzwa bali ni mchakato wa kutafuta ukweli. Asipokuwa na hatia ataendelea ba kazi yake.
 
CAG inaingiaje hapa wakati sisi tunataka kujuwa ukweli wa michango ya wanachama iliyoliwa na Heche
 
Tume ya Chande ilikua inachunguza nini ?

Na hao waliokuwa wanachunguzwa wangapi walikaa pembeni?

Na aliyeunda ile tume alikua nani?

Kwanini tume ya Chande haikutaka "uchunguzi huru" kutoka nje kama unavyodai hapa hapa uchunguzi huru?
Usichanganye mafaili
 
Unaona huko ni kuwa defensive au ni kusimamia standard procedures?

Chama hakiwezi kuendeshwa kwa emotions na kelele za watu wasio na ushahidi.
Kwani SOP za chama kwenye issue jana zinasemaje?
 
Kwani SOP za chama kwenye issue jana zinasemaje?
Kama unajua kuna SOPs, basi utakuwa unajua pia kuwa kuna natural justice inayohitaji mtuhumiwa asikilizwe, hakuna sehemu kwenye SOP zetu inayosema kiongozi anatakiwa asimamishwe kazi kabla ya prima facie evidence kuwasilishwa kwenye vikao rasmi.
 
hatua za kuwafukuza uongozini viongozi waliokosoa huo ufisadi si mmeshazichukua tayari, au hatua gani zaidi mnataka kuchukua?🐒
 
Pumbavu ponjoro mkubwa wewe
 
Maelezo yote hayo kutetea ufisadi wa Heche. Kama yuko Safi nilitegemea muukubali uchunguzi huru.

The more mnaweka pingamizi the more mnatushawishi kuwa Heche amekula hela za chama
Umekubaliwa uchunguzi peleka mashitaka kwa maandishi kwa katibu mkuu wa CHADEMA.
Una lingine?
 
Tume ya Chande ilikua inachunguza nini ?

Na hao waliokuwa wanachunguzwa wangapi walikaa pembeni?

Na aliyeunda ile tume alikua nani?

Kwanini tume ya Chande haikutaka "uchunguzi huru" kutoka nje kama unavyodai hapa hapa uchunguzi huru?
🤣🤣
 
Ukiona mtu flani anapigwa vita na Ccm ujue mtu huyo ni potential. Haya Sisi tulimpa Heche hela ya kula kwani nyie mnatakaje!
 

..wazo zuri sana.

..John Heche asimamishwe umakamu mwenyekiti lakini aruhusiwe kuhutubia mikutano ya hadhara.
 
Asimamishwe kazi kabla hata ya formal complaint kuwasilishwa?

Unaifahamu constitution ya Chama inasemaje kuhusu baraza la wadhamini au wazee?

Kukurupuka kuwapa madaraka wasiyo kuwa nayo , hiyo ni political chaos.
 
Kama unajua kuna SOPs, basi utakuwa unajua pia kuwa kuna natural justice inayohitaji mtuhumiwa asikilizwe, hakuna sehemu kwenye SOP zetu inayosema kiongozi anatakiwa asimamishwe kazi kabla ya prima facie evidence kuwasilishwa kwenye vikao rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…