Brevis Bei nafuu. WHY?

Hio Castrol nzuri kwa migari mikubwa kama mi Scania, mi Fuso and the like.

Kwa gari ndogo mi natumia Total ila sasa nimeamua kujaribu Lake Oil pia.
Oil zina features na maelekezo maalumu ambayo kwa bahati mbaya hawa wauzaji wa reja reja huwa huwa hawana. Ukisoma vizuri ile mikebe utaona imeandikwa namba na herufi ambazo zina ashiria kuwa oil husika ni kwaajiri ya gari za miaka fulani na fulani ni kwaajiri ya gari za miaka fulani.

Kwa mfano kuna gari za kuanzia miaka ya 1990's kurudi nyuma zipo barabarani na kuna gari za miaka ya 2000's zipo barabarani pia sasa hizi katika engine zinahitaji aina tofauti ya engine oil..... Na sio kusoma tu kuwa gari ndogo, engine ya petrol then oil namba ni 20w 50 watu wanaclamisha
 
Kila nkijicheki sioni dalili za kumiliki ndinga ila la ajabu nnavyopenda kuvamia Nyuzi za magari [emoji854][emoji854]
Unaweza haujaamua tu.... Kama unataka kutimiza ndoto zako za kumiliki gari njoo inbox nikupe mbinu
 
Nashukuru sana mkuu
 
Kweli mkuu...ila sabau kubwa nadhani ni vile Watz tunapenda mambo ya fashion.
Magari mengi ni fashion ikishapita inakuwa yeboyebo.

1. Nianze na GX 100 chaser, mark ii na cresta...
Nimecheka sana eti ufuge ndevu nyingi then utoke ndani ya Crown
 
Nimecheka sana eti ufuge ndevu nyingi then utoke ndani ya Crown
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]si unajua bongo yetu na mambo ya fashoni..

Sasa hivi tunakimbilia kwenye subaru impreza
 
Kwenye hizi gari mjapani alichemsha sana. Hii gari haina utofauti na gari za ulaya. Ubaya ubwela trip rod trip garage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…