ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Team Kia Optima hapa japo bongo zipo kiduchu.View attachment 1493784
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Yaani kuna watu wanaisifia Brevis na kuna watu wanaiponda balaa! Mnatupa wakati mgumu sana sisi tunao waza kumiliki magari[emoji34]
Oil zina features na maelekezo maalumu ambayo kwa bahati mbaya hawa wauzaji wa reja reja huwa huwa hawana. Ukisoma vizuri ile mikebe utaona imeandikwa namba na herufi ambazo zina ashiria kuwa oil husika ni kwaajiri ya gari za miaka fulani na fulani ni kwaajiri ya gari za miaka fulani.Hio Castrol nzuri kwa migari mikubwa kama mi Scania, mi Fuso and the like.
Kwa gari ndogo mi natumia Total ila sasa nimeamua kujaribu Lake Oil pia.
Unaweza haujaamua tu.... Kama unataka kutimiza ndoto zako za kumiliki gari njoo inbox nikupe mbinuKila nkijicheki sioni dalili za kumiliki ndinga ila la ajabu nnavyopenda kuvamia Nyuzi za magari [emoji854][emoji854]
Fuga inashida gani mkuu?na vipi skylineKimeo hicho chief. Huyo atakaenunua atajuta maisha yake yote
Nashukuru sana mkuuhahhahaa...kama una mpango wa kukaa ndani ya SH 5 wala usinyoe kiduku....wewe andaa suti za kutosha ndiyo zinapendeza mule...gari ya heshima sana ile.... binafsi naipa heshima kuliko hata wenzake wkina vanguard au x trail new model..
Kwenye forester SG5 na Altezza, mule ndiyo tunanyoa viduku, K vant kiasi au konyagi kubwa...hahahaa[emoji23][emoji23] bila kusahau suruali mibano za jeans zilizochanwa magotini..[emoji119][emoji119][emoji119]...
Nimecheka sana eti ufuge ndevu nyingi then utoke ndani ya CrownKweli mkuu...ila sabau kubwa nadhani ni vile Watz tunapenda mambo ya fashion.
Magari mengi ni fashion ikishapita inakuwa yeboyebo.
1. Nianze na GX 100 chaser, mark ii na cresta...
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]si unajua bongo yetu na mambo ya fashoni..Nimecheka sana eti ufuge ndevu nyingi then utoke ndani ya Crown
Yaani kaka kwa mwaka mzima nimeshindwa kufanya maamuzi kuhusu hii brevis. Huyu anasema ni gari zuri huyu anasema kimeo sijui nani mkweli hapaDuh! Yaani kuna watu wanaisifia Brevis na kuna watu wanaiponda balaa! Mnatupa wakati mgumu sana sisi tunao waza kumiliki magari[emoji34]
Huu ni mtihani aiseee!Yaani kaka kwa mwaka mzima nimeshindwa kufanya maamuzi kuhusu hii brevis. Huyu anasema ni gari zuri huyu anasema kimeo sijui nani mkweli hapa
Kabisa
Mkuu naomba sifa za AlphardIt's okay lakini hiyo Brevis hata ukiagiza ina matatizo hayo..mi ni mtu wa gari sanaaaa naelewa hizi kitu na shida zake