Brevis Bei nafuu. WHY?

Mimi ninachokifahamu ni kwamba Tanzania gari yenye 2500CC na kuendelea ina resale value ndogo sana..pia watu wengi wanapenda kuweka mafuta ya 10,000-15,000 na wanataka wazunguke misele mingi huku kiyoyozi kipo na ukiangalia vizuri brevis inatumia kuanzia 5km/l - 6km/l sasa kwa mtu anayetaka kuweka mafuta ya 10,000-15,000 lazima alalamike gari za CC kubwa.

hivyo uunatakiwa walau uwe na uwezo wa kuweka 50,000-80,000 kwa siku 4-7 sasa kibongo bongo watu wenye uwezo huo ni wachahce sana ndo maana hadi leo hii Premio, IST resale value yake bado ipo juu Crown zenyewe watu hawakai nazo sababu ya gharama za uendeshaji
 
Umehama mada..kwanza kwa taarifa yako na huo ukubwa wa engine wala haitumii 5km per litter si kweli, zinatumia 8km per litter- 8.5
 
Umehama mada..kwanza kwa taarifa yako na huo ukubwa wa engine wala haitumii 5km per litter si kweli, zinatumia 8km per litter- 8.5
Wewe si unayo brevis piga picha kwenye screen ya navigation ikionesha fuel economy reading ya 8-8.5km/l tuone... sijahama mada kama nilivyokiwisha kukueleza awali inaonekana una kariri sana mkuu
 
Wewe si unayo brevis piga picha kwenye screen ya navigation ikionesha fuel economy reading ya 8-8.5km/l tuone... sijahama mada kama nilivyokiwisha kukueleza awali inaonekana una kariri sana mkuu
Wewe wala hujui gari..kuna mada yako ipo humu unauliza kwa nini Brevis na Xtrail ni ngumu kuuza,yani hujui chochote wewe. Kwheri aisee..sikujua nabishana na mtu mwepesi kwenye magari na wewe lazima ni mtoto wa mama,mala unalalamikia kupanda kwa bei za mafuta aisee...
 
Upoteze kumsimamia fundi. Wenzetu hamnaga kazi za kufanya?
Fundi mwingine ukimsimamia anatoka uvinguni

anakwambia "boss ingia nisaidie kupaka hii grisi"

ukimwambia huwezi,anakwambia Basi ondoka niache nifanye

kazi ako nikimaliza nitakuita,maswala ya kusimamiana sio kabisa.
 
Itakua umenifananisha mkuu we fatilia michango yangu humu jukwaani nasukuma chuma cha wanaume KZN130 sijawahi kulalamika mafuta kupanda bei hata siku moja, wewe weka picha ya fuel economy hapo, sijawahi kutamani kuendesha au kumiliki Brevis wala X - Trail hahaha
 
Attachments

  • Screenshot_20200603-184619_Gallery.jpg
    34.2 KB · Views: 37

Mi tuliyokaa nayo miaka minne tumekataa 6.5 ili tumuuzie ndugu kwa 6. Dalali alitaka atupe 5.5 tukakataa. Jua tu kuwa kikubwa pia kinachoshusha bei za magari ni engine kubwa kama ya brevis inayokula mafuta, na hii ni trend hapa bongo. Uliza vizuri hao rafiki zako wakikaaje nazo brevis hadi zikawasumbua hivyo.

Brevis inakula mafuta na ni kawaida ya gari nyingi za kijapan ambazo ni super comfortable, kwa sababu ya size ya engine.
Subiri bei za Crown mwakani.
 
Una mada za kulalamikia mafuta toka mwaka 2016-2018
 
Attachments

  • Screenshot_20200603-185045.jpeg
    53.3 KB · Views: 38
Zishaanza kushuka mkuu,zilikua zinasimamia kwenye 11 now zishafika 9 bei ya kuanzia,mpaka dec zinaweza kufika 6 πŸ˜ƒ
 
Fundi mwingine ukimsimamia anatoka uvinguni

anakwambia "boss ingia nisaidie kupaka hii grisi"

ukimwambia huwezi,anakwambia Basi ondoka niache nifanye

kazi ako nikimaliza nitakuita,maswala ya kusimamiana sio kabisa.
Haa!Lazima uhakikishe spare uliyonunua imefungwa.Kama hataki akae mbali.Poa spare naenda kununua mwenywe!Kuna wakati kununua mwenyewe anakwambia hii siyo nzuri na siwezi kufunga.Jibu ni nahisi tu.Gari ni yangu wewe fungal!
 
Mi ninayo mwaka wa tano huu, haina shida yeyote ya ajabu ambayo magari mengine huwa hayapati, ninachokiona hapa ni chuki kwa wanaoweza kumudu gharama za mafuta, acheni chuki mbwa nyie, na mafuta ndio yameshuka bei sasa, tafuteni lingine la kusema
 
Duh [emoji23][emoji23][emoji23]. Umetumia lugha kali sana. Ila mi ninalo mwaka wa 4 huu, na kwamba hili gari ni kimeo nimesikia kwenye huu uzi. Nilitegemea wangesema yanauzwa bei rahisi kwa sababu yanakula mafuta ningeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…