Brevis Bei nafuu. WHY?

Wewe si unayo brevis piga picha kwenye screen ya navigation ikionesha fuel economy reading ya 8-8.5km/l tuone... sijahama mada kama nilivyokiwisha kukueleza awali inaonekana una kariri sana mkuu
Kiukweli kwa foleni za Dar huwa inasoma 6.5km/l, ila kwa safari huwa naona inasoma hasi 11km/l
 
Mkuu nataka nijiripue kununu Brevis used, Hebu nipe Wastani wa matumizi wa mafuta kwa kilometer. ( Nipo huku mikoani hakuna foleni ), kuna jamaa anasema 6Km/l ? real
 
ulaji wanmafuta kwa wastani upoje?.
 
50,000/= per week mbona hela ya mkeka mmoja tu hapo WA siku moja!... hahaha
 
ipo nyingine Brevis inauzwa 5M mazungumzo yapo
sharti uijue kwanza hiyo gari, pili inahitaji matengenezo
ipo Uhindini nyuma ya Paradise Cinema
Daah mil 5 na bado inataka matengenezo?Hio jau tayari mzee baba.
 
Ushauri maana usinunue gari inayouzwa na mtu mweusi agiza moja kwa moja anapouza jua ina tatizo au kuna tatizo linakuja kutokea
Ww hilo la kwako uliloagiza utakapolichoka utamuuzia nani kama watu wote watafanana na wewe mtazamo? Au Uta export na wewe?
Ndo maana unauziwa bei rahisi ukatengeneze.

Kila circle ya hii dunia lazima iheshimiwe, anayenunua 0km lazima amuheshimu anayenunua mkweche sababu anayenunua mkweche ndo alimpatia pesa aliyenunua used from Japan lililouzwa na aliyenunua 0km.
 
Isiibiwe kwa sababu Ni nzito au?
Haiwezekani brevis zote ziwe za wizi maana karibu zote zinauzwa cheap. Huwezi iba gari ukalitangaza kama lilivyo. Ukibadili namba itakulazimu kubadili kadi, mnunuzi ahakiki kadi tu TRA na polisi kujiridhisha. Kuna sababu nyingine zinazosababisha bei kuwa chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…