Duh km vile unanishtua na Hio jau. Maana leo wameshuka hadi 4M eti wamenipunguzia za matengenezo au nikanunue engine nyingine kwa 1.5M Ilala.Daah mil 5 na bado inataka matengenezo?Hio jau tayari mzee baba.
Fureeeeeshhhhhhh.....Nilichokielewa ndo nilicho comment!..
Mzee baba hapo kimbia fasta sana,wanataka kukushikisha kimeo hao jamaa.duh km vile unanishtua na Hio jau
maana leo wameshuka hadi 4M eti wamenipunguzia za matengenezo au nikanunue engine nyingine kwa 1.5M Ilala
sasa bado AC na ma umeme
hapo mng'ato naingizwa choo cha kike nikakabiziwe mzoga
Tunafanana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila nkijicheki sioni dalili za kumiliki ndinga ila la ajabu nnavyopenda kuvamia Nyuzi za magari [emoji854][emoji854]
Sawa na Harrier tako la nyani.Crown ghafla limekua Yebo Yebo.
Kweli mkuu...ila sabau kubwa nadhani ni vile Watz tunapenda mambo ya fashion.Crown ghafla limekua Yebo Yebo.
Kwa Kweli!!!Brevis sio gari
Kweli mkuu...ila sabau kubwa nadhani ni vile Watz tunapenda mambo ya fashion.
Magari mengi ni fashion ikishapita inakuwa yeboyebo.
1. Nianze na GX 100 chaser, mark ii na cresta.
2.Tukaja GX 110
3.Verosa haikufanya vizuri saana
4.Brevis nayo ilivamiwa sasa hivi watu wanaikimbia kama ukoma
5.Mark x hapo napo watu kibao walikimbilia ila bado inafanya vizuri...
Mkuu nataka nijiripue kununu Brevis used, Hebu nipe Wastani wa matumizi wa mafuta kwa kilometer. ( Nipo huku mikoani hakuna foleni ), kuna jamaa anasema 6Km/l ? real
Duh! Yaani kuna watu wanaisifia Brevis na kuna watu wanaiponda balaa! Mnatupa wakati mgumu sana sisi tunao waza kumiliki magari[emoji34]Brevis ni Gari zuri sana sema watu wanaishi na maneno ya vijiweni kuwa inakula mafuta mimi naendesha Brevis mwaka 4 huu sijaona shida. Mafuta ni 8.5km kwa Litre. Kwa siku ikiwa safari ndefu natumia mpk 14km/L. Pia ina stability kubwa sana barabarani hasa kwenye speed.
Ushauri maana usinunue gari inayouzwa na mtu mweusi agiza moja kwa moja anapouza jua ina tatizo au kuna tatizo linakuja kutokea
nina mpango na forester sh5 vp mkuu niandae kidugu mapema, lkn mbona huku waheshimiwa wanazipenda sana na si vijana wa vidukuKweli mkuu...ila sabau kubwa nadhani ni vile Watz tunapenda mambo ya fashion.
Magari mengi ni fashion ikishapita inakuwa yeboyebo.
1. Nianze na GX 100 chaser, mark ii na cresta.
2.Tukaja GX 110
3.Verosa haikufanya vizuri saana
4.Brevis nayo ilivamiwa sasa hivi watu wanaikimbia kama ukoma
5.Mark x hapo napo watu kibao walikimbilia ila bado inafanya vizuri...
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Fuga sina wasiwasi kabisaa...wamiliki wengi wa Nissan wana adabu flani hivi inayokaribiana na wamiliki wa European cars unlike most of Toyota owners..NAMBA 6 imenichekesha sana... vipi tunao endesha Nissan Fuga?
Hii gari nayo imevamiwa sana lakini bado ipo classic sana....kwa upande wangu naona hii gari itaendelea kutunza value yake kuliko hata hizo crown...naipenda bure...huku mtaani kwetu wajeda wliajiriwa majuzi ndiyo wamezikimbilia sana na IST..Vipi premio
Uimara haijaachana na washindani wake kama crown...Fuga naielewa sana Ila sina uhakika na uimara wake.
hahhahaa...kama una mpango wa kukaa ndani ya SH 5 wala usinyoe kiduku....wewe andaa suti za kutosha ndiyo zinapendeza mule...gari ya heshima sana ile.... binafsi naipa heshima kuliko hata wenzake wkina vanguard au x trail new model..nina mpango na forester sh5 vp mkuu niandae kidugu mapema, lkn mbona huku waheshimiwa wanazipenda sana na si vijana wa viduku
Anyway hizi gari zina shida gani mkuu
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mafundi pia kwa sisi wakazi wa vijijini.Uimara haijaachana na washindani wake kama crown...
Tatizo ni spea bei ghali kiasi kulinganisha na wenzake wa kampuni ya Toyota