Kwa hiyo mteja akinunua hii kahawa yenu ya punje anaisaga kwa kutumia kifaa gani! Na kwa nini hamuweki pia na ile ya unga ili mteja aamue mwenyewe anataka kahawa ya unga, au ya punje!Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na kufungashwa ndani ya saa 48 tu! Ukifungua chupa yetu, harufu yake inatosha kukuambia kuwa umeshika dhahabu ya kijani.
Siri yetu ni nini? Whole Beans pekee!
Tofauti na wengine wanaouza kahawa iliyosagwa (ground) ambayo inapoteza ladha haraka, sisi tunakuuzia punje nzima (Whole Beans). Hii ni kwa sababu tunajali ubora; tunataka uisage mwenyewe muda mchache kabla ya kunywa ili upate ladha na mafuta (oils) yote ya asili yakiwa bado mapya kabisa.
Chagua Saizi Yako Leo:
• Jar ya Kifahari (500g): Kwa wale wanaojua thamani ya kweli na hawataki kuishiwa radha ya Kilimanjaro nyumbani kwao – 30,000 Tsh.
• Paketi ya Majaribio (200g): Kwa wale wanaotaka kuonja maajabu yetu kwa mara ya kwanza – 10,000 Tsh tu!
Tunauza kiasi kikubwa kila siku na oda ni nyingi, hivyo usichelewe. Hii si kahawa ya kukuta kwenye rafu za madukani kwa miezi sita;
Wahi yako sasa!
Tunafanya delivery mikoa yote.
Piga/WhatsApp: 0753038470
Brewa Coffee Co. – Taste Kilimanjaro in Every Sip au weka oda kupitia tovuti yetu www.brewa.co.tzView attachment 3527055
Kwa hiyo hapo tayari kwa matumizi?mbona wadau hatujawahi hata kukutana nayo kwa bahati nzuri?Hata vijiwe vya gahawa?Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na kufungashwa ndani ya saa 48 tu! Ukifungua chupa yetu, harufu yake inatosha kukuambia kuwa umeshika dhahabu ya kijani.
Siri yetu ni nini? Whole Beans pekee!
Tofauti na wengine wanaouza kahawa iliyosagwa (ground) ambayo inapoteza ladha haraka, sisi tunakuuzia punje nzima (Whole Beans). Hii ni kwa sababu tunajali ubora; tunataka uisage mwenyewe muda mchache kabla ya kunywa ili upate ladha na mafuta (oils) yote ya asili yakiwa bado mapya kabisa.
Chagua Saizi Yako Leo:
• Jar ya Kifahari (500g): Kwa wale wanaojua thamani ya kweli na hawataki kuishiwa radha ya Kilimanjaro nyumbani kwao – 30,000 Tsh.
• Paketi ya Majaribio (200g): Kwa wale wanaotaka kuonja maajabu yetu kwa mara ya kwanza – 10,000 Tsh tu!
Tunauza kiasi kikubwa kila siku na oda ni nyingi, hivyo usichelewe. Hii si kahawa ya kukuta kwenye rafu za madukani kwa miezi sita;
Wahi yako sasa!
Tunafanya delivery mikoa yote.
Piga/WhatsApp: 0753038470
Brewa Coffee Co. – Taste Kilimanjaro in Every Sip au weka oda kupitia tovuti yetu www.brewa.co.tzView attachment 3527055
Je mkiuza kwa mteja hiyo whole beans,mnampatia na coffee maker au?Ipo iliyosagwa na whole beans kama hiyo..
Whole beans mteja anakua na option ya kusaga pale tu anapotaka kutumia hivo kahawa kunukia na kua fresh zaidi.. wateja wa whole beans wengi wana coffee grinder na coffee maker kama espresso machines..Je mkiuza kwa mteja hiyo whole beans,mnampatia na coffee maker au?
Kwani ukinunua mahindi unapewa na mashine ya kusaga?Je mkiuza kwa mteja hiyo whole beans,mnampatia na coffee maker au?
Sio kahawa ya kijiwe, muwe mnajiongeza vitu vingine. Sasa unataka ukute beans za 30k per 500g kwa muuza alkasusi?Kwa hiyo hapo tayari kwa matumizi?mbona wadau hatujawahi hata kukutana nayo kwa bahati nzuri?Hata vijiwe vya gahawa?
Hii inahitaji coffee maker nyumbaniKama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na kufungashwa ndani ya saa 48 tu! Ukifungua chupa yetu, harufu yake inatosha kukuambia kuwa umeshika dhahabu ya kijani.
Siri yetu ni nini? Whole Beans pekee!
Tofauti na wengine wanaouza kahawa iliyosagwa (ground) ambayo inapoteza ladha haraka, sisi tunakuuzia punje nzima (Whole Beans). Hii ni kwa sababu tunajali ubora; tunataka uisage mwenyewe muda mchache kabla ya kunywa ili upate ladha na mafuta (oils) yote ya asili yakiwa bado mapya kabisa.
Chagua Saizi Yako Leo:
• Jar ya Kifahari (500g): Kwa wale wanaojua thamani ya kweli na hawataki kuishiwa radha ya Kilimanjaro nyumbani kwao – 30,000 Tsh.
• Paketi ya Majaribio (200g): Kwa wale wanaotaka kuonja maajabu yetu kwa mara ya kwanza – 10,000 Tsh tu!
Tunauza kiasi kikubwa kila siku na oda ni nyingi, hivyo usichelewe. Hii si kahawa ya kukuta kwenye rafu za madukani kwa miezi sita;
Wahi yako sasa!
Tunafanya delivery mikoa yote.
Piga/WhatsApp: 0753038470
Brewa Coffee Co. – Taste Kilimanjaro in Every Sip au weka oda kupitia tovuti yetu www.brewa.co.tzView attachment 3527055
Kahawa ya vijiwe vingi ni takataka kabisaSio kahawa ya kijiwe, muwe mnajiongeza vitu vingine. Sasa unataka ukute beans za 30k per 500g kwa muuza alkasusi?
Kahawa ya kijiweni ina hata vumbi, hii ni kwa wale coffee enthusiasts, sio ya kila mtu. Tembelea hata watu uone hizo coffee machines au nenda kwenye coffee bars kama Emwani Cafe uone.
Vijiwe vichache wanakahawa pure.. Kahawa bei ipo juu.. Wengi wanachanganya na mambegu flani hivi kutoka kusini yanauzwa kilo 1000.. mtu anachangaya 5kilo ya kahawa arabica,2 kilo robusta na 3 kilo yale mambegu..Kahawa ya vijiwe vingi ni takataka kabisa