Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Kinacho nisikitisha, eti hawa watu ndio huaga wanakaa vikao vya kujadiri mustakabari wa Tanzania; ndio maana bandari imewashinda kuendesha, mwendokasi imeshindikana, shirika la simu yaani TTCL, nk. Halafu ni vitu ambavyo wala havina ushindani wa kugombania wateja; wateja wanajileta wenyewe tu. HATARI sanaWanaamini kila kitu hakiwezekani
Ndugu yangu,hii nchi ni ngumu sana.Mpuuzi mmoja anaye tawaliwa na ccm anapo jifanya ana akili kuliko viongozi wote wa brics.
Internet inashida gani .... au unataka kusema Internet inamilikiwa na usa .Wakiweza kujitegemea kwenye internet, hapo wamewin
Haha 🤣, waweze kujitegemea through hardware's, software's, wakija na innovation yao hapo watakuwa ni wenye. Kujitegemea kikamilifu kabisa .Internet
Internet inashida gani .... au unataka kusema Internet inamilikiwa na usa .
Haueleweki unamaanisha Internet ina milikiwa na,usa ?Haha 🤣, waweze kujitegemea through hardware's, software's, wakija na innovation yao hapo watakuwa ni wenye. Kujitegemea kikamilifu kabisa .
Watarudi pale pale..... ...maana mkufu hauwezi kusimama hata ukinyeshwa mchuzi wa pwezaSasa hayo mataifa ya brics yanayokabiliwa na mchoko yakitaka kufanya biashara na nchi za magharibi yasiyo wanachama wa hiyo brics watafanyaje sasa..!!
Mbona haujauliza nchi za magharibi watafanyaje wakitaka kufanya biashara na nchi za brics?Sasa hayo mataifa ya brics yanayokabiliwa na mchoko yakitaka kufanya biashara na nchi za magharibi yasiyo wanachama wa hiyo brics watafanyaje sasa..!!
Waigizaji hao.Ni miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya nchi wanachama wa BRICS.
Huu ni moja ya mpango kabambe wa kuondoa utegemezi wa mfumo wa kimagharibi wa sasa wa malipo 'SWIFT payment 'na matumizi ya dola Marekani.
Mfumo huu wa BRICS Payment 💳 ulianza kufanyiwa majaribio rasmi katika Mkutano wa Biashara wa BRICS huko Moscow ukiofanyika tarehe 17 Oktoba 2024.
Mkutano mkuu wa BRICS 2024 unatarajiwa kuona uzinduzi kamili wa mfumo wa malipo huo.
Faida za mfumo huu mpya wa BRICS Pay ni kama vile:
1) Uondoaji wa Gharama za Malipo
Mfumo huu unaweza kupunguza au kuondoa gharama za malipo za kimataifa kwa kuepuka wasimamizi wengi, kama vile mabenki, ambazo yanahusika katika mfumo wa sasa wa malipo ya kimataifa. Hii inafanywa kwa kutumia teknolojia ya blockchain ili kuwezesha malipo ya kati ya kati bila wasimamizi kama vile mabenki.
2) Malipo kufanyika kwa haraka
Blockchain itaokoa muda wa malipo ya kimataifa, ambayo mara nyingi huchukua muda mrefu mfano siku moja tu badala ya siku kadhaa.
3) Kupunguza Kutegemea Dola ya Marekani
Mfumo wa BRICS Pay unalenga kupunguza kutegemea dola ya Marekani kama sarafu ya msingi kwa malipo ya kimataifa. Kwa kuruhusu malipo kufanywa kwa sarafu za ndani au sarafu ya kidijitali (digital currency) iliyoundwa haswa kwa kikundi cha BRICS, mfumo huu unapunguza gharama za ubadilishaji wa sarafu na hatari za kiwango cha ubadilishaji, na kuongeza uhuru wa kifedha kwa nchi wanachama wa BRICS.
Kiufupi, hii ni habari mbaya mno kwa Marekani na washirika wake.
Hiyo ni hatua kuelekea kwenye one world payment system kwa hiyo hata hiyo BRICS payment system nayo itacollapse ila kupisha mfumo mmoja wa malipo dunia nzimaSasa hayo mataifa ya brics yanayokabiliwa na mchoko yakitaka kufanya biashara na nchi za magharibi yasiyo wanachama wa hiyo brics watafanyaje sasa..!!
Watafanya kwa dola.. Watu wanafikiri brics ikianza kutuMika ndio dola itakufa hapana si kweli..Sasa hayo mataifa ya brics yanayokabiliwa na mchoko yakitaka kufanya biashara na nchi za magharibi yasiyo wanachama wa hiyo brics watafanyaje sasa..!!
Meza kwanza mate halafu uje uandike upyaSasa hayo mataifa ya brics yanayokabiliwa na mchoko yakitaka kufanya biashara na nchi za magharibi yasiyo wanachama wa hiyo brics watafanyaje sasa..!!
Wakiweza au akiamua maana kama Russia anajitegemea kwenye internetWakiweza kujitegemea kwenye internet, hapo wamewin
Sahihi unachokisema, na ndio maana wao wenyewe Sasa hivi wanachokifanya ni kukaribisha wanachama wapya hili kuongeza wigo wa kibiashara na hatimae kufanikisha mpango wao wa dedollarization. Mpaka Sasa hivi Kuna mataifa Zaid ya 50 yaliyoomba unaachana wa BRICSNadhani hiyo blockchain yao itakuwa ni kwa ajili ya kufanyia biashara among them only, ila beyond the Brics borders watalazimika kutumia Swift na $.
Watanzania wanaanmin kila kitu hakiwezekan.. yaan hata sisi kama nchi hatuwezi kuendesha bandari TTCL mwendo kasi ila mpaka waje wazungu huko ndo wataweza kuendeshaSahihi unachokisema, na ndio maana wao wenyewe Sasa hivi wanachokifanya ni kukaribisha wanachama wapya hili kuongeza wigo wa kibiashara na hatimae kufanikisha mpango wao wa dedollarization. Mpaka Sasa hivi Kuna mataifa Zaid ya 50 yaliyoomba unaachana wa BRICS