Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Kwani Internet ya nani?Wakiweza kujitegemea kwenye internet, hapo wamewin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Internet ya nani?Wakiweza kujitegemea kwenye internet, hapo wamewin
Huyu jamaa nilimuuliza swali kama hilo alivyojibu nikajua Tanzania tumekwisha bado tunawajinga wengi mtu anaamin mmiliki wa Internet ni USAKwani Internet ya nani?
Tusiwalaumu sana ndivyo walivyojengewa hiyo mindset tangu udogoni kwao.Watanzania wanaanmin kila kitu hakiwezekan.. yaan hata sisi kama nchi hatuwezi kuendesha bandari TTCL mwendo kasi ila mpaka waje wazungu huko ndo wataweza kuendesha
Mchoko gani? Unajua uchumi mfano wa India au Brazili? India ni ina miaka niwili mbele kabla haijaitoa Japan kama nchi ya 3 yenye uchumi mkubwaSasa hayo mataifa ya brics yanayokabiliwa na mchoko yakitaka kufanya biashara na nchi za magharibi yasiyo wanachama wa hiyo brics watafanyaje sasa..!!
Kuna vigezo kibau vya kupima maswala ya uchumi. India anaweza kuja kuizidi Japan kwa GDP kubwa lakini wananchi wengi wa India watabaki walalahoi ndani ya nchi yao ukilinganisha na Japan.Mchoko gani? Unajua uchumi mfano wa India au Brazili? India ni ina miaka niwili mbele kabla haijaitoa Japan kama nchi ya 3 yenye uchumi mkubwa
Mwanzo mzuriNi miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya nchi wanachama wa BRICS.
Huu ni moja ya mpango kabambe wa kuondoa utegemezi wa mfumo wa kimagharibi wa sasa wa malipo 'SWIFT payment 'na matumizi ya dola Marekani.
Mfumo huu wa BRICS Payment 💳 ulianza kufanyiwa majaribio rasmi katika Mkutano wa Biashara wa BRICS huko Moscow ukiofanyika tarehe 17 Oktoba 2024.
Mkutano mkuu wa BRICS 2024 unatarajiwa kuona uzinduzi kamili wa mfumo wa malipo huo.
Faida za mfumo huu mpya wa BRICS Pay ni kama vile:
1) Uondoaji wa Gharama za Malipo
Mfumo huu unaweza kupunguza au kuondoa gharama za malipo za kimataifa kwa kuepuka wasimamizi wengi, kama vile mabenki, ambazo yanahusika katika mfumo wa sasa wa malipo ya kimataifa. Hii inafanywa kwa kutumia teknolojia ya blockchain ili kuwezesha malipo ya kati ya kati bila wasimamizi kama vile mabenki.
2) Malipo kufanyika kwa haraka
Blockchain itaokoa muda wa malipo ya kimataifa, ambayo mara nyingi huchukua muda mrefu mfano siku moja tu badala ya siku kadhaa.
3) Kupunguza Kutegemea Dola ya Marekani
Mfumo wa BRICS Pay unalenga kupunguza kutegemea dola ya Marekani kama sarafu ya msingi kwa malipo ya kimataifa. Kwa kuruhusu malipo kufanywa kwa sarafu za ndani au sarafu ya kidijitali (digital currency) iliyoundwa haswa kwa kikundi cha BRICS, mfumo huu unapunguza gharama za ubadilishaji wa sarafu na hatari za kiwango cha ubadilishaji, na kuongeza uhuru wa kifedha kwa nchi wanachama wa BRICS.
Kiufupi, hii ni habari mbaya mno kwa Marekani na washirika wake.
Mkuu, umenifurahisha sana ulipo mtaja huyu mbinafsi TANESCO.Swali zuri,
Nafikiri kwa sasa lengo ni kuvutia kupunguza utegemezi wa $ japo bado safari ni ndefu, ila hii move ni nzuri.
Wakati mwingine huwa nadhani BRICS wanafanya maamuzi nia si kuiangusha $ kwa haraka bali ni ili kuifanya $ isijisahau kama TANESCO.
Ndo wetu huyu mkuu.Mkuu, umenifurahisha sana ulipo mtaja huyu mbinafsi TANESCO.
Wamarekani watahack na kuuvuruga3) Kupunguza Kutegemea Dola ya Marekani
Mfumo wa BRICS Pay unalenga kupunguza kutegemea dola ya Marekani kama sarafu ya msingi kwa malipo ya kimataifa. Kwa kuruhusu malipo kufanywa kwa sarafu za ndani au sarafu ya kidijitali (digital currency) iliyoundwa haswa kwa kikundi cha BRICS, mfumo huu unapunguza gharama za ubadilishaji wa sarafu na hatari za kiwango cha ubadilishaji, na kuongeza uhuru wa kifedha kwa nchi wanachama wa BRICS.
Mzee wamesha zindua huo mfumo rasmi JanaHii kitu kumbe hawa jamaa wapo serious hivi
Eti niwe niko hapa nashabikia likoloni lingine linalokuja kutukoloni tena?Ni miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya nchi wanachama wa BRICS.
Huu ni moja ya mpango kabambe wa kuondoa utegemezi wa mfumo wa kimagharibi wa sasa wa malipo 'SWIFT payment 'na matumizi ya dola Marekani.
Mfumo huu wa BRICS Payment 💳 ulianza kufanyiwa majaribio rasmi katika Mkutano wa Biashara wa BRICS huko Moscow ukiofanyika tarehe 17 Oktoba 2024.
Mkutano mkuu wa BRICS 2024 unatarajiwa kuona uzinduzi kamili wa mfumo wa malipo huo.
Faida za mfumo huu mpya wa BRICS Pay ni kama vile:
1) Uondoaji wa Gharama za Malipo
Mfumo huu unaweza kupunguza au kuondoa gharama za malipo za kimataifa kwa kuepuka wasimamizi wengi, kama vile mabenki, ambazo yanahusika katika mfumo wa sasa wa malipo ya kimataifa. Hii inafanywa kwa kutumia teknolojia ya blockchain ili kuwezesha malipo ya kati ya kati bila wasimamizi kama vile mabenki.
2) Malipo kufanyika kwa haraka
Blockchain itaokoa muda wa malipo ya kimataifa, ambayo mara nyingi huchukua muda mrefu mfano siku moja tu badala ya siku kadhaa.
3) Kupunguza Kutegemea Dola ya Marekani
Mfumo wa BRICS Pay unalenga kupunguza kutegemea dola ya Marekani kama sarafu ya msingi kwa malipo ya kimataifa. Kwa kuruhusu malipo kufanywa kwa sarafu za ndani au sarafu ya kidijitali (digital currency) iliyoundwa haswa kwa kikundi cha BRICS, mfumo huu unapunguza gharama za ubadilishaji wa sarafu na hatari za kiwango cha ubadilishaji, na kuongeza uhuru wa kifedha kwa nchi wanachama wa BRICS.
Kiufupi, hii ni habari mbaya mno kwa Marekani na washirika wake.
Mzee wamesha zindua huo mfumo rasmi Jana
watcher.guru