BRICS yafanya demo ya mfumo wa malipo kwa kadi (BRICS payment system cards) ikiwa ni maandalizi ya mfumo mpya wa malipo BRICS Pay

Watanzania wanaanmin kila kitu hakiwezekan.. yaan hata sisi kama nchi hatuwezi kuendesha bandari TTCL mwendo kasi ila mpaka waje wazungu huko ndo wataweza kuendesha
Tusiwalaumu sana ndivyo walivyojengewa hiyo mindset tangu udogoni kwao.

Wewe ukishaona nchi imezungukwa na Maziwa lakini Bado raia wake karibu 79% hawana stable accessibilities ya maji safi na salama, ujue Hilo taifa raia wake wameoza ubongo wanachojua wao ni kula tu na kuiba basi.
 
Sasa hayo mataifa ya brics yanayokabiliwa na mchoko yakitaka kufanya biashara na nchi za magharibi yasiyo wanachama wa hiyo brics watafanyaje sasa..!!
Mchoko gani? Unajua uchumi mfano wa India au Brazili? India ni ina miaka niwili mbele kabla haijaitoa Japan kama nchi ya 3 yenye uchumi mkubwa
 
Mchoko gani? Unajua uchumi mfano wa India au Brazili? India ni ina miaka niwili mbele kabla haijaitoa Japan kama nchi ya 3 yenye uchumi mkubwa
Kuna vigezo kibau vya kupima maswala ya uchumi. India anaweza kuja kuizidi Japan kwa GDP kubwa lakini wananchi wengi wa India watabaki walalahoi ndani ya nchi yao ukilinganisha na Japan.

Hivyo utakuja kugundua kwamba kuwa na GDP kubwa sio hoja, hivyo Social Development Index (SDI) ndio dili na wala sio ukubwa wa GDP.
 
Mwanzo mzuri
 
Mkuu, umenifurahisha sana ulipo mtaja huyu mbinafsi TANESCO.
 
Reactions: Tsh
Wamarekani watahack na kuuvuruga
 
"With fellow BRICS leaders at the Summit in Kazan, Russia. This Summit is special because we welcomed the new BRICS members. This forum has immense potential to make our planet better and more sustainable".Narendra Modi
 
Hamna kitu hapo hizo ni Talk Shops tu na porojo za kisiasa hiyo pesa yao itatolewa na nchi gani na wataitoa kwa msingi upi na ina maana biashara watafanya wenyewe kwa wenyewe..🤣🤣🤣🤣
 
Eti niwe niko hapa nashabikia likoloni lingine linalokuja kutukoloni tena?

US or BRICS are all makoloni washenzi watupu

Siwezi kaa hapa nashabikia yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…