Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Kwa masikitiko makubwa, tunaomba kuwaarifu kuwa Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Amefariki muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akipokea matibabu.
Huyu ndugu aliwahi kuwa Mbunge wa Mlalo, Huko Lushoto, Waziri wa TAMISEMI na Mwenyekiti wa Kamati moja ya Bunge.
Amewahi kuwa Rais wa Kisiwa kimoja huko bahari Hindi.
Huyu ndugu aliwahi kuwa Mbunge wa Mlalo, Huko Lushoto, Waziri wa TAMISEMI na Mwenyekiti wa Kamati moja ya Bunge.
Amewahi kuwa Rais wa Kisiwa kimoja huko bahari Hindi.