The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Dah katangulia ilikuwa zamu yake. Na sisi tusubiri yetu.
Yesu tusaidie
Yesu tusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LEST IN PEACEndo nini hii weka kirefu chake
manake nini!LEST IN PEACE
Tumia lugha ya taifa , Lugha hii ya kwa mama haijawahi kuwaacha salama watafuta kikiLEST IN PEACE
Huko visiwa vya Ngazija bilashakaUnamaanisha R.I.P aliwahi kuwa prezidaa...!!??
ndo nini hii weka kirefu chake
BWM si kwamba alikuwa anamtaka zaidi yule Mzigua Kigoda?RIP Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi.Katika ulingo wa siasa BWM alimtaka sana huyu mjeda lakini lile kundi haramu la mtandao likamzidi nguvu na kumwingiza Mzee wa Msoga atimaye akawapatia Bandari ya Bwaga moyo wachina.
Kwa masikitiko makubwa, tunaomba kuwaarifu kuwa Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Amefariki muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akipokea matibabu.
Huyu ndugu aliwahi kuwa Mbunge wa Mlalo, Huko Lushoto, Waziri wa TAMISEMI na Mwenyekiti wa Kamati moja ya Bunge.
Amewahi kuwa Rais wa Kisiwa kimoja huko bahari Hindi.
BWM si kwamba alikuwa anamtaka zaidi yule Mzigua Kigoda?
aliwahi kuwa rais wa mpito wa visiwa vya sychelles ama sherisheri amewahi kuwa mkuu wa organisation na mapigano katika jeshi la msumbiji kisha akawa mshauri wa rais wa msumbiji, amewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam marehemu ameacha wake na watoto wengiKwa masikitiko makubwa, tunaomba kuwaarifu kuwa Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Amefariki muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akipokea matibabu.
Huyu ndugu aliwahi kuwa Mbunge wa Mlalo, Huko Lushoto, Waziri wa TAMISEMI na Mwenyekiti wa Kamati moja ya Bunge. Amewahi kuwa Rais wa Kisiwa kimoja huko bahari Hindi.