zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
Mkuu VP? Sijakuelewa hata ulichomaanisha,Soma vizuri comment yangu. Nimesema hakuna cheo cha Brigedia, Bali Brigedia Jenerali. Hicho ni cheo cha kwanza kwa ngazi ya Majenerali, name anakuwa name nyota moja. Mfano huwezi kumuita Luteni Jenerali kama Luteni, cheo kina majina mawili, huwezi kutaja moja