Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mungu amlaze pema kamanda Ngwilizi. Aliongoza jeshi la Tanzania kusaidia mapinduzi yaliyomweka madarakani Albert-Rene huko Ushelisheli.Picha yake wengine hatumjui
Kama humjui, ni wazi kuwa hata ukiletewa picha haitakusaidia; ina maana alipokuwa waziri, wewe ulikuwa huelewi kabisa nchi inakwendakwendaje.