TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

Mkuu VP? Sijakuelewa hata ulichomaanisha,
 
Kafanye tena home work yako vizuri. Cheo cha Brigedia hakipo?!! Wakati marehemu alikuwa cheo hicho akiwa Tabora na Alikuwa jirani yangu next door.
Mkuu VP? Sijakuelewa hata ulichomaanisha,
anachosema chamlungu ni sahihi (http://www.uniforminsignia.org/?option=com_insigniasearch&Itemid=53&result=56 ) kwa siku hizi cheo cha Brigedia Generali, lkn kwa sisi na Echolima cheo cha Brigedia Mkuu wa Brigedi kipo na baada ya hapo ni Luteni Generali labda wamebadili maana hata kwenye wiikipedia wanajichanganya
bofya HAPA
General Jenerali
Lieutenant General Luteni Jenerali
Major General Meja Jenera i
Brigadier General Brigedia Jenerali
Colonel Kanal
i
Lieutenant Colonel Luteni Kanali
Major Meja
Captain Kapteni
Lieutenant Luteni
2nd lieutenant Luteni usu
Officer candidate


Tanzania
(Edit )
General L/General Brigadier Colonel L/ Colonel Major Captain L/tSecond Lieutenant Officer
 
Uko sahihi Ukwaju hao nao kuna uwezekano mkubwa sana wamepotoka.
 
πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ
 
Kisiwa gani alikua raisi wake?? Any way R.I.P
Aliwahi kutumwa kwenda kuzima mapinduzi sheli sheli,aliongoza kikosi cha makomandoo
Baada ya kutimua wahuni ilibidi abaki kabla ya kumrejeshea kiti chake Rais Albert Rene
 
Left without leaving an address.

R I P Brig Gen. Ngwilizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…