TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

Picha yake wengine hatumjui
Mungu amlaze pema kamanda Ngwilizi. Aliongoza jeshi la Tanzania kusaidia mapinduzi yaliyomweka madarakani Albert-Rene huko Ushelisheli.

Kama humjui, ni wazi kuwa hata ukiletewa picha haitakusaidia; ina maana alipokuwa waziri, wewe ulikuwa huelewi kabisa nchi inakwendakwendaje.
 
Mungu amlaze anapostahili
 
Tanzania tunaruhusiwa kuishi popote pale. Inabidi kuwa wapole tu
 
Tanzania tunaruhusiwa kuishi popote pale. Inabidi kuwa wapole tu
Ni kweli, lakini unakumbuka kuna sheria moja ya mwaka 1921 kuhusu uchawi na inaruhusu mtu akigundulika ni mchawi anakila sababu za kufukuzwa eneo anapoishi?
Sheria hiyo iliazimiwa ifutwe lakini kwa vile haitumiki effectively ipoipo tu vitabuni, lakini ndiyo ilizalisha vijiji kama Gamboshi.
Sasa kuna watu kuwakaribisha kwenye jamii yenu inahitaji kuwa makini sana.
Mfano Ndugu gay aombe kuhamia mnapoishi waweza kukubali awe jirani yako? Sii ataanzisha kamati ya maadili mtaani kwenu! Nakuitumia vibaya?
 
Rais kwa maana gani tufahamishane
 
Ndugu gay?!! Huyo alihamishwa na wasukuma ila alisahau kuhama na kaburi la mzazi wake ambalo alilihamisha baadae chini ya ulinzi mkali sana.
 
Atangulie kwa amani, Tanga kuna mtaa unaotumia jina lake kama sikosei.
 
Hakuwa Rais na kwa namna yoyote asingeweza kuwa Rais wa kisiwa ... Huenda alikuwa Balozi wa heshima (Honorary Consul)

Kwa mujibu wa katiba ya Seychelles, mkuu wa majeshi ni wa tatu kwa seniority baada ya Rais na Makamu wa Rais. Meaning wasipokuwapo wote wawili wa mwanzo wa tatu anakuwa acting president. Ngwilizi alikuwa mkuu wa majeshi huko.
 
Lol. Hivi Gamboshi ipo sehemu gani? Wasukuma wanavyojua kucheza na fisi na nyoka, si wote watafukuzana Mwaswa na Bariadi?
 
Huyu ndingi alimfanyia umafi wa kutosha mzee Charles Kagonji kwenye Kura za maoni CCM mwaka 2005 na 2010 na alishindwa ila wakubwa ndio waliomtaka kuliko wananchi, Apumzishwe Panapostahili.
 
Lol. Hivi Gamboshi ipo sehemu gani? Wasukuma wanavyojua kucheza na fisi na nyoka, si wote watafukuzana Mwaswa na Bariadi?
Gamboshi iko hukohuko Simiyu, ni kijiji ambacho kabla ya Uhuru watu waliokuwa wanahisiwa au kujulikana ni wachawi walikuwa wanafukuzwa na kupelekwa huko kuishi.
Basi mziki wa hapo sio mchezo, kuona fisi usiku wanacheza mpira au dansi kawaida. Au kuona treni inapita wakati hakuna reli sio jambo LA ajabu
 

May his soul rest in peace!
 
Mrigariga said:
Kafanye tena home work yako vizuri. Cheo cha Brigedia hakipo?!! Wakati marehemu alikuwa cheo hicho akiwa Tabora na Alikuwa jirani yangu next door.
Soma vizuri comment yangu. Nimesema hakuna cheo cha Brigedia, Bali Brigedia Jenerali. Hicho ni cheo cha kwanza kwa ngazi ya Majenerali, na anakuwa na nyota moja. Mfano huwezi kumuita Luteni Jenerali kama Luteni, cheo kina majina mawili, huwezi kutaja moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…