Zembwela anakimudu saana hicho kipindi hapo walipatia sana kumpa hicho kipindi ila akisepa tu kitajiendesha chenyewe kama skonganaunga mkono hoja mi siku hizi naangalia mkasi tuu na asubuhi mara chach nikikuta nyimbo za ulaya za zamani na kipindi cha ujenzi siku moja moja zembwela uswazi
kwa hapa bongo sasa hivi naangalia sana tv one
Zembwela anakimudu saana hicho kipindi hapo walipatia sana kumpa hicho kipindi ila akisepa tu kitajiendesha chenyewe kama skonga
Kuna madem wakiwa kwenye position hawashauriki! Wao wanajua kila kitu! Uzuri wako jf tangu 2007 ujumbe wataupata! Staki maswali pia sijajiandaa! Haha
kuna mbabu huwa anatangaza lafudhi ya kisamba kwenye uswazi namkubali pia lazima amalizie 'eee bwana ee ''Mimi nilipenda enzi ya Mussa bwana...zembwela sifa nyingi...
Sasa clouds unaangalia nini wakati hao clouds ni copy na paste ya EATV.ila mtazamo wakoNi bora kidoooogo niangalie clouds wanajitahidi kiukweli...
Ila siwezi kuangalia channel 1 kutwa nzima hamna iliyonivutia mpaka sasa
huyu dogo wa 5 select amezidisha artificiality. hivi watangazaji mkiongea kwa lafudhi fasaha ya kiswahili mtaonekana washamba? hebu ongeeni vizuri bwana. mbona kivuyo anaongea vema tu na watu wanamkubali!

hahahaaaa kivuyo ananipa raha siku moja cheka kapigwa akawa anasema"masikini roho yangu"nilicheka jamani
kivuyo nooma
Na cha zebwela kizuri kidogo , umeniacha hoi kwenye taarifa ya habari duuKipindi cha maana kilichobaki 5 ni Mkasi....hii Chanel imekuwa sio ya kijanja tena wana mpaka taarifa za habari, bongo tv shows ni msiba.
Na cha zebwela kizuri kidogo , umeniacha hoi kwenye taarifa ya habari duu
zembwela anajitahidi kiasi chake.....ila haya mambo ya kuleteana taarifa za habari na mambo ya siasa wasije kushangaa wanapoteza watu kabisa.
mimi nakumbuka zamani ukiona ngoma ya kibongobongo inachezwa chanel 5 ujue ina viwango kweli ila sasa hadi nyimbo zilizoshutiwa na galaxy 2 zinachezwa. Na ilikuwa zinapigwa ngoma unyamwezi mwanzo mwisho kina hiphop base kina nani wale cjui.
Naona kuna mjinga kaingia pale haielewi vision ya muttie vizuri, watu tunataka burudani bwana mambo ya siasa katiba tupa kule tukitaka tutafungua itv na wale watangazaji wenye mionekano ya kwaya wawapeleke kwa mzee masako wakatangaze malumbano ya hoja.
sometimes unachek vipindi vya nje unachoka unaitaji kuona mambo yanafanyika home, ila ndio kila chanel unayofungua unaishia kukereka tu.
EATV naangalia Uswazi,Kurasa,Mkasi,Ujenzi,Planet Bongo na Skonga(Alipokuwa Allan)
5 select na Hot mix siku moja moja.
haki ya MUNGU kweli kabisa yani chanel five wanapotea hivi hivi tv one wanakuja juu wanajitahidi kwa kweli
Hemed kivuyo ni zawadi toka kwa mungu kwa watanganyika+ ile sauti yake....uwiiiiii
kuna huyu kaka wana mwita Nasser kingwa ndoo bosi wao, huyu jamaa hamna kitu kabisa anaajiri watu wasio na sifa watangazaji kibao wamesepa vipindi vinajiendesha vyenyewe kama afro beat na skongaTatizo kwenye hizi media inatokea mtu mmoja au wawili wenye nguvu sana ya maamuzi kiasi kwamba wanaamini wao wapo smart kuamua ata wengine watapenda nini. Haya ndio madhara ya mawazo kutoka juu kwenda chini kwa watekelezaji, utafeli tu. Wengi wamefeli ata 5 watafeli na graphics zao.