zembwela anajitahidi kiasi chake.....ila haya mambo ya kuleteana taarifa za habari na mambo ya siasa wasije kushangaa wanapoteza watu kabisa.
mimi nakumbuka zamani ukiona ngoma ya kibongobongo inachezwa chanel 5 ujue ina viwango kweli ila sasa hadi nyimbo zilizoshutiwa na galaxy 2 zinachezwa. Na ilikuwa zinapigwa ngoma unyamwezi mwanzo mwisho kina hiphop base kina nani wale cjui.
Naona kuna mjinga kaingia pale haielewi vision ya muttie vizuri, watu tunataka burudani bwana mambo ya siasa katiba tupa kule tukitaka tutafungua itv na wale watangazaji wenye mionekano ya kwaya wawapeleke kwa mzee masako wakatangaze malumbano ya hoja.
sometimes unachek vipindi vya nje unachoka unaitaji kuona mambo yanafanyika home, ila ndio kila chanel unayofungua unaishia kukereka tu.