Bring back our Channel 5

Bring back our Channel 5

naunga mkono hoja mi siku hizi naangalia mkasi tuu na asubuhi mara chach nikikuta nyimbo za ulaya za zamani na kipindi cha ujenzi siku moja moja zembwela uswazi
kwa hapa bongo sasa hivi naangalia sana tv one
Zembwela anakimudu saana hicho kipindi hapo walipatia sana kumpa hicho kipindi ila akisepa tu kitajiendesha chenyewe kama skonga
 
Kuna madem wakiwa kwenye position hawashauriki! Wao wanajua kila kitu! Uzuri wako jf tangu 2007 ujumbe wataupata! Staki maswali pia sijajiandaa! Haha

Hahahaaaaa nikisikia huu msemo wa Sitti nacheka sana
 
Mimi nilipenda enzi ya Mussa bwana...zembwela sifa nyingi...
kuna mbabu huwa anatangaza lafudhi ya kisamba kwenye uswazi namkubali pia lazima amalizie 'eee bwana ee ''
 
huyu dogo wa 5 select amezidisha artificiality. hivi watangazaji mkiongea kwa lafudhi fasaha ya kiswahili mtaonekana washamba? hebu ongeeni vizuri bwana. mbona kivuyo anaongea vema tu na watu wanamkubali!
 
Hahahaaaa Hemedi Kivuyo ananikoshaga sana siku simba ikifungwa na Yanga ikishinda....yule jamaa ni hatari na yale maneno yake
 
huyu dogo wa 5 select amezidisha artificiality. hivi watangazaji mkiongea kwa lafudhi fasaha ya kiswahili mtaonekana washamba? hebu ongeeni vizuri bwana. mbona kivuyo anaongea vema tu na watu wanamkubali!

hahahaaaa kivuyo ananipa raha siku moja cheka kapigwa akawa anasema"masikini roho yangu"nilicheka jamani
kivuyo nooma
 
EATV naangalia Uswazi,Kurasa,Mkasi,Ujenzi,Planet Bongo na Skonga(Alipokuwa Allan)

5 select na Hot mix siku moja moja.
 
Kipindi cha maana kilichobaki 5 ni Mkasi....hii Chanel imekuwa sio ya kijanja tena wana mpaka taarifa za habari, bongo tv shows ni msiba.
 
Na cha zebwela kizuri kidogo , umeniacha hoi kwenye taarifa ya habari duu
 
zembwela anajitahidi kiasi chake.....ila haya mambo ya kuleteana taarifa za habari na mambo ya siasa wasije kushangaa wanapoteza watu kabisa.

mimi nakumbuka zamani ukiona ngoma ya kibongobongo inachezwa chanel 5 ujue ina viwango kweli ila sasa hadi nyimbo zilizoshutiwa na galaxy 2 zinachezwa. Na ilikuwa zinapigwa ngoma unyamwezi mwanzo mwisho kina hiphop base kina nani wale cjui.

Naona kuna mjinga kaingia pale haielewi vision ya muttie vizuri, watu tunataka burudani bwana mambo ya siasa katiba tupa kule tukitaka tutafungua itv na wale watangazaji wenye mionekano ya kwaya wawapeleke kwa mzee masako wakatangaze malumbano ya hoja.

sometimes unachek vipindi vya nje unachoka unaitaji kuona mambo yanafanyika home, ila ndio kila chanel unayofungua unaishia kukereka tu.
 
haki ya MUNGU kweli kabisa yani chanel five wanapotea hivi hivi tv one wanakuja juu wanajitahidi kwa kweli
 
Tatizo kwenye hizi media inatokea mtu mmoja au wawili wenye nguvu sana ya maamuzi kiasi kwamba wanaamini wao wapo smart kuamua ata wengine watapenda nini. Haya ndio madhara ya mawazo kutoka juu kwenda chini kwa watekelezaji, utafeli tu. Wengi wamefeli ata 5 watafeli na graphics zao.
 
kuna huyu kaka wana mwita Nasser kingwa ndoo bosi wao, huyu jamaa hamna kitu kabisa anaajiri watu wasio na sifa watangazaji kibao wamesepa vipindi vinajiendesha vyenyewe kama afro beat na skonga
 
zembwela anajitahidi kiasi chake.....ila haya mambo ya kuleteana taarifa za habari na mambo ya siasa wasije kushangaa wanapoteza watu kabisa.

mimi nakumbuka zamani ukiona ngoma ya kibongobongo inachezwa chanel 5 ujue ina viwango kweli ila sasa hadi nyimbo zilizoshutiwa na galaxy 2 zinachezwa. Na ilikuwa zinapigwa ngoma unyamwezi mwanzo mwisho kina hiphop base kina nani wale cjui.

Naona kuna mjinga kaingia pale haielewi vision ya muttie vizuri, watu tunataka burudani bwana mambo ya siasa katiba tupa kule tukitaka tutafungua itv na wale watangazaji wenye mionekano ya kwaya wawapeleke kwa mzee masako wakatangaze malumbano ya hoja.

sometimes unachek vipindi vya nje unachoka unaitaji kuona mambo yanafanyika home, ila ndio kila chanel unayofungua unaishia kukereka tu.

Ha h hahahahahahah watangazaji wenye muonekano wa kwaya kama nani?
Kuna hoja ya msingi sana kwwnye para zako za mwisho..
 
chanel 5 (EATV) ilikuwa 2007 bhana! sa hvi kimengeuka ukumbi wa siasa! mim nimehamia Box africa tv na kidogo mtv base, na discover science tv bhasi!
 
Back
Top Bottom