Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mungu wa Israel atende miujiza Mwanae Moses arudi akiwa hai. Shetani ashindwe kwa Jina La Yesu Kristo.Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake,hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao,na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia.
Bring back Moses Lijenje.
Hii kazi hata mjukuu wangu atakayejiunga alaaniwe.Kamrithi baba yake,hiyo kazi laana
Aisee Mungu anaendelea kuwaanika watesi wetu. Kumbe hadi huko kwa mabaka manaka wanafika ndio maana wanajidai sanaJina linatajwa ila haonekani mahakamani Wala selo au, soon wasiojulikana watajulikana
Kwa hali hii sijui wataaminiana vipi tena. Unafikiri Kama ni kweli Jeshi litakubali watu wao wateswe namna hiyo?Dah ujinga wa polisi chini ya siro unafikia mwisho Kama naona jwtz wanavyomtamani siro ajitekenye.