Brings back Moses Lijenje campaign

Brings back Moses Lijenje campaign

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake, hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao, na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia.

Bring back Moses Lijenje.
 
JamiiForums-1672111855.jpg
 
Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake,hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao,na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia.

Bring back Moses Lijenje.
Mungu wa Israel atende miujiza Mwanae Moses arudi akiwa hai. Shetani ashindwe kwa Jina La Yesu Kristo.

Allahuakbar
 
Dah ujinga wa polisi chini ya siro unafikia mwisho Kama naona jwtz wanavyomtamani siro ajitekenye.
Kwa hali hii sijui wataaminiana vipi tena. Unafikiri Kama ni kweli Jeshi litakubali watu wao wateswe namna hiyo?

Kwa hali hiyo basi Jeshi linafundisha magaidi na kuwaweka uraiani. Hii kesi ni ngumu kwa na amani Kati ya Jeshi na polisi.

Sauti ya Moses isikike kwa kweli.
 
Back
Top Bottom