Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Bora giza la North Korea mara 1000, kuliko mwanga wa kukikuda huuKorea kaskazini bado Iko gizani sana Tanzania iliziishi hizo scenarios 1970 to 1980s, NK waache ujinga wafungue nchi aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora giza la North Korea mara 1000, kuliko mwanga wa kukikuda huuKorea kaskazini bado Iko gizani sana Tanzania iliziishi hizo scenarios 1970 to 1980s, NK waache ujinga wafungue nchi aisee
Korea kaskazini bado Iko gizani sana Tanzania iliziishi hizo scenarios 1970 to 1980s, NK waache ujinga wafungue nchi aisee
Kwa hivyo ulifuta hizo video badala ya kuturushia haraka kwa whatsapp
Umeweza kuifungua nahisi zone hii zinawekwa Ila haziplay
Hatujafikia ujinga wa Korea kaskazini aisee, Yani tv aangalie Rais pekeeWakenya, Wazambia na Wamalawi wanatuona Watanzania hivyo hivyo kama wewe unavyowaona North Korea!! Interesting!!
Maisha ya North Korea ni utumwa kule kuishi sehemu ya zidumu fikra za Rais inachoshaBora giza la North Korea mara 1000, kuliko mwanga wa kukikuda huu
U communist ni laana na huleta umaskini kiongozi yoyote anayependwa kutukuzwa sio mzima akiliniHata Tz tunachaguliwa habari za kuandika , kuchapisha & kutangaza . U communist ni hovyo na haijawahi kuitoa nchi yoyote mrisi .
Wewe , Seul watu wanakula maisha, huku Pyongyang ni kumtukuza kiongozi na genge lake linalotawala !! U communist ni hovyo kabisa
Usipende spoon feeding mkuu google umuhimu wakeSasa kama huwezi kuelezea jinsi ulivyonufaika, huoni hizo ni kamba?
Sioni misambwanda kabisa hapo
Vipi kuhusu totoz na ulabu vinapatikana?
Mkuu ulifika korea kaskazini?Maisha ya North Korea ni utumwa kule kuishi sehemu ya zidumu fikra za Rais inachosha
Nasoma mitandaoni mkuu, kwani wewe imewahi fika USA mbona taarifa zake wazijuaMkuu ulifika korea kaskazini?
Unapenda Misambwanda mi pia napenda Ila bahat mbaya Shemeji yenu Mzungu Kuna muda namisi MisambwandaSioni misambwanda kabisa hapo
Any way nchi inaonekana iko vZr tofauti
Na media za magharibi wanavyo itangaza
Ova
Kwa kweli usioneshe shura angalau tuone vidole vyako!Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong !
Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema!
Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda !
Mashart kama vile
1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama waangalizi wa mgeni aingiaye
2. Ku surrender simu kwenye baadhi ya Mamlaka Au kuto ruhusiwa kuwa na mawasiliano yeyote nje ya Norh Korea
3. Internet haikuwapo (very limited) Kwa baadhi ya maeneo ya maafisa wa ngazi za juu za Usalama!
4. Kumbi za starehe na miziki zinacheza nyimbo maalumu Kwa uangalizi
5.Kama passport yako una stamp ya ama Britain 🇬🇧 / USA 🇺🇸 / Israel 🇮🇱 ni matatizo
6. Kwenda kwenye Locales zao kuliport kila baada ya Masaa 12 Kama roll cal
JE SAFARI HII MAMBO YAKOJE
Tuanze na Kionjo cha video hapa ni maeneo kadhaa
View attachment 2034022
Video 2
Kadri siku zinavyoenda inaonekana bwana kiduku anaanza kulegea na kuendana na dunia inatakaje yaliyobadilika mpaka sasa
Pamoja na kwamba kila saa 12 Utaratibu wa Kwenda Freedom square kulaani vitendo walivyofanyiwa na Marekani Kwa kukaa Kimya ukionesha ishara ya kusikitika dakika 2 yaan 120 seconds mambo mengine mengi yamebadilika!
Hawazuii sana kupiga picha Kama zamani!!
Wageni hawazongwi sana kama zamani
Ku repot kwenye locale ni mara moja Kwa week siyo kila siku !
Waangalizi wa Kuchunguza shughuli ya mgeni hawapo close kama zamani!
Kwa sasa unaweza nyoa style yeyote ya nywele ila isifanane na ya KIM mwenyewe!
Mtandao wa internet Uko vizuri!!
Maendeleo yameanza kuwapo Korea kaskzini bajeti ilokuwa inagengwa 60% Kwenda jeshini now inaenda 35 tu!
North Korea wameruhusu mashirika ya Kimataifa kama msalaba mwekundu ambao walikuwa wame wa piga stop!
Japo Bado ndege ya Kwenda Korea ni Moja Air Koryo ila wageni wanakuja Kwa wingi ndani ya nchi hii!
Muhuri wa US Au Israel ndani ya Passport haikuzuii sasa kuingia!!
Hakuna kupewa special SIM card airport tena!!
Japo wameniweka ndani masaa 3 Kwa Ku record video moja Lakin wakaniachia Kwa mashart ya kuzifuta . NILI RECORD MAGARI YA FAMILIA YA JAMAA YAKE KIM WANAVYOFUNGA BARABARA AKIENDA SUPERMAKRT
nitaandika mengi
KIDUKU KALEGEA
Kuhusu Ukahaba Upo Ila kwa kujificha Sana na wanakulana tu
Katika watu wasiojjtambua ni hao aisee, angalau sie.Korea kaskazini bado Iko gizani sana Tanzania iliziishi hizo scenarios 1970 to 1980s, NK waache ujinga wafungue nchi aisee