Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

Korea kaskazini bado Iko gizani sana Tanzania iliziishi hizo scenarios 1970 to 1980s, NK waache ujinga wafungue nchi aisee

Nchi inayotengeneza ballistic nyuklia useme ya kuifanananisha na tanzania ambayo kiberiti tunaagiza china

Kule illiteracy n 100%
Ile nchi n mashart lakin huwez ifananisha na nchi za afrika kwa advancement
 
Ccm ndio inatawala lakini tumevuka level nyingine za kimaendeleo tofauti na style ya Nyerere ka ya NK watu walikuwa wanakosa Hadi nguo za kuvaa kisa sera ka za Korea huoni mwinyi alifungua nchi aisee

Sasa imefunguliwa bado tumekua watumwa nchi hata haiwez jihami hata kijeshi ndo maana kila siku n ndyo ndyo had kufa!!
 
U communist ni uongozi wa ulemavu wa akili Sasa huko Korea internet inatumiwa na wakubwa tu wakija kwa Raia wanajifamya wao ni watabiri na Wana akili, kumbe wanaangalia vitu vinavoendelea dunia, Raia mnachaguliwa Hadi Cha kufikiria na habari gani mpate huo sio utumwa

Communist ndo imeisogeza china kutoka 3rd world had kuwa ya pili kiuchumi ebu toa uvundo huo kichwani!!!...
Hamna mfumo mbaya wabaya watu
 
britanicca - Nimekutambua kupitia vidole vyako vya mikono. Kumbe ndio wewe, mkuu? Halafu unatumia ka-mkorogo kwa mbali.
 
Nchi inayotengeneza ballistic nyuklia useme ya kuifanananisha na tanzania ambayo kiberiti tunaagiza china

Kule illiteracy n 100%
Ile nchi n mashart lakin huwez ifananisha na nchi za afrika kwa advancement
Illiteracy ni 100%🤷‍♂️ au literacy ndio 100%🤸‍♂️? Just a fact check bro.
 
Nasoma mitandaoni mkuu, kwani wewe imewahi fika USA mbona taarifa zake wazijua
Unachokisoma ama kukisikia mtandaoni ni kile wakubwa wanataka usikie tu.

Nyingine zinakuwa propaganda, nina ndgu yangu alifanya kazi korea ya kusini miaka kama 15+ hivi iliyopita, anasema bosi wao alikuwa anaambia wale vizuri washibe, sababu wao wanajua afrika kuna njaa tupu, anawauliza hivi mnaangalia tv nyinyi, mnalala hata kwenye vitanda vizuri, yaani yeye anajua afrika hakuna umeme, ni njaa njaa tupu, shida kama unazoziona pale somalia ndio afrika yoote
 
Mkuu misukosuko ya kufuta picha ipo kwetu pia. Niliwahi kushikiliwa na kulazimishwa kuzifuta picha zote nilizopiga kwa mara ya kwanza pale Ferry na kwa mara ya pili nikiwa uwanja wa ndege wa Chato.....
 
Unachokisoma ama kukisikia mtandaoni ni kile wakubwa wanataka usikie tu.

Nyingine zinakuwa propaganda, nina ndgu yangu alifanya kazi korea ya kusini miaka kama 15+ hivi iliyopita, anasema bosi wao alikuwa anaambia wale vizuri washibe, sababu wao wanajua afrika kuna njaa tupu, anawauliza hivi mnaangalia tv nyinyi, mnalala hata kwenye vitanda vizuri, yaani yeye anajua afrika hakuna umeme, ni njaa njaa tupu, shida kama unazoziona pale somalia ndio afrika yoote
Vitu vya korea ni halisi bana hebu soma articles za tafiti nchi Ile inaendeshwa ki propaganda zaidi, haina haki kwa Raia watu Hadi Wana njaa kabisa huko loh.
 
Wanasema CCM imetukaba shingoni hatuna uwezo wa kuchagua viongozi tunaowataka.
Hatari na nusu nchi zote za ki socialist uchaguzi wake ukippita chamani hyo ndio nitolee election ni formality tu
 
Back
Top Bottom