Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

U communist ni laana na huleta umaskini kiongozi yoyote anayependwa kutukuzwa sio mzima akilini
 
North Korea wanahitaji Sana kukombolewa dhidi ya dikteta Kim. Anaeishi kifalme ndani ya mafukara.
Kama internet imeruhusiwa wamekwisha
 
Kwa kweli usioneshe shura angalau tuone vidole vyako!
 
Korea kaskazini bado Iko gizani sana Tanzania iliziishi hizo scenarios 1970 to 1980s, NK waache ujinga wafungue nchi aisee
Katika watu wasiojjtambua ni hao aisee, angalau sie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…