britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #61
Wameruhusu Ila niliweka video zikawa zinaoma imebidi niingie settings nifanye Simu Kama Niko region nyingine yaan wenye iPhone wanaelewa nime weka Kama niki London ikakubali ku update na kuendelea na ku postNorth Korea wanahitaji Sana kukombolewa dhidi ya dikteta Kim. Anaeishi kifalme ndani ya mafukara.
Kama internet imeruhusiwa wamekwisha
😂Kwa kweli usioneshe shura angalau tuone vidole vyako!
Yes wame advance kusema kweli Ila si kiviileNchi inayotengeneza ballistic nyuklia useme ya kuifanananisha na tanzania ambayo kiberiti tunaagiza china
Kule illiteracy n 100%
Ile nchi n mashart lakin huwez ifananisha na nchi za afrika kwa advancement
Nimempata mmoja nilipofikia kwenye Condo! Wanaita Condo yaan apartment! Ni muhudumu wa hapa ! Wako vema na kila mdada wa Korean Kaskazini ananiangalia kwa jicho la huruma kwamba naweza Kumuondoa hapa kwa Njia ya Kumuoa Maana Kuna Mambo Mengi hawayapati Kama haki zao wanawakeHukula tunda kimasihara?
Kazi gani Malcom 😂Mkuu britanicca naomba kazi.....
Ila kwa korea kumezidi na Wana restrictions nyingi sanaHata Tz tunachaguliwa habari za kuandika , kuchapisha & kutangaza . U communist ni hovyo na haijawahi kuitoa nchi yoyote mrisi .
Wewe , Seul watu wanakula maisha, huku Pyongyang ni kumtukuza kiongozi na genge lake linalotawala !! U communist ni hovyo kabisa
Naona anaanza kulegea Kama kakubali mashirika ya Kimataifa yaanze kufanya kazi hapaAsante ndugu britanicca kutupasha habari za taifa linaloongozwa na bwana Kiduku
Now zinacheza imebidi nibadili Logib Region kwenye Simu Maana awali Izilionesha Giza tuVideo haichezi mkuu
Vp ulifika hapo DMZ
ova
Wanatutoa kawaida ila .....Hukula tunda kimasihara?
Usinifanyie hivyo mkuu, nimeshakutumia CV yangu PM!Kazi gani Malcom 😂
Ntaendeleza Mkuu ngoja nitulieMada nzuri naomba muendelezo britanicca
pazuri sana huku.Nimempata mmoja nilipofikia kwenye Condo! Wanaita Condo yaan apartment! Ni muhudumu wa hapa ! Wako vema na kila mdada wa Korean Kaskazini ananiangalia kwa jicho la huruma kwamba naweza Kumuondoa hapa kwa Njia ya Kumuoa Maana Kuna Mambo Mengi hawayapati Kama haki zao wanawake
Matako jamani ptuuuu.....hawana😁😁
Matako jamani ptuuuu.....hawana[emoji16][emoji16]
Fahari ya macho😀😀Unataka kuyafanyia kzi gani?
Hii Ina play lakini hayioneshi mkuu.Yes wame advance kusema kweli Ila si kiviile
View attachment 2034313