Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Sio siri mtu huyu Britanicca ni watu ninaowakubali sana hapa JF. Ni mtu mwenye uwezo wa ajabu sana wa kufikisha taarifa kwa ufupi na akaeleweka lakini zaidi ni mtu anayejua vitu vingi sana kwenye nchi hii na zaidi ya yote ninapenda mtindo wako wa kujifanya kuuliza jambo huku akiwa analijua mwanzo mwisho tena kwa undani wake.
Hoja zake mara zote huwa nasoma na zaidi anatoa tabiri nyingi ambazo mbeleni zinakuja kuwa kweli. Ni mtu mwenye siri na taarifa nyingi za ndani
Leo baada ya kutajwa jina la mzee Kinana kama mgombe umakamu mwenyekiti wa CCM , nyuzi zake nyingi zinaibuliwa kwa kasi. Je Britanicca ndiye yeye?
Inaweza kuwa ni coincidence tu mambo hayo kutokea kwa pamoja lakini jicho la tatu linaweza kufumbua fumbo hili