Britanicca wa JF ni nani? Kwanini leo baada ya mzee Kinana kupitishwa nyuzi zake za nyuma zinafunguliwa sana?

Britanicca wa JF ni nani? Kwanini leo baada ya mzee Kinana kupitishwa nyuzi zake za nyuma zinafunguliwa sana?

Kama wale waliolipuliwa na bomu kwenye mkutano wa chadema pale Arusha?

Au yule mwandishi aliesambaratishwa na bomu pale iringa?

Au yule Ulimboka alivyongolewa meno?

Basi sawa

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kama Ben saa8 alivyopigwa risasi na Mungu mtu wenu!!
 
Back
Top Bottom