Panga La Shaba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2009
- 209
- 68
Ndege za warabu zinawanyima biashara..
Bei zao ni reasonable na wana destinations za kumwaga ndo maana wazungu wanadata..
Bado KLM nae kutolewa mchezoni kwa customer care yao mbovu ya wahudumu wa Kidutch maana kwa american destinations Turkish ashaanza kuteka soko..
Chezea Turkish wewe kila baada ya dakika kazaa cabin crew anakugusa bega " kaka have a meal mdomo haunuki safari nzima unakula na kunywa kama harusini
We wa Yaeda Juu una vituko! hiyo Atc ina ndege ngapi za kwake binafsi?Tutawafuata Nairobi...halafu....hivi ATC haiendagi kwa bibi.....?
We wa Yaeda Juu una vituko! hiyo Atc ina ndege ngapi za kwake binafsi?
Nitajaribu Turkish nione wako namna gani...
Kaka jaribu uone,, siwapigii debe but hao jamaa ni noma.. Nahisi wapo kwenye market penetrations maana ndege zao kwanza mpya karibu zote hadi za connections, na hata kwenye connections hapo instunbul service za kufa mtu hadi raha,,na wahudumu wazuri mbaya totoz za kituruki plus drinks and misosi sasa safarini ndo utachoka mwenyewe...