Panga La Shaba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2009
- 209
- 68
Baada ya kuwa Tanzania kwa kipindi cha muda mrefu sana shirika la ndege la Uingereza British Airways sasa kufunga virago tarehe March 29,2013...Source Michuzi Blog.
Maswali ya kujiuliza...
Hivi ni kwa nini haya mashirika makubwa yamekuwa yakiondoka Tanzania??walianza wajerumani(Lufthansa),wakaja Warusi(Aeroflot),wakaja Waitaliano(Alitalia)...Lakini haya mashirika ukienda Kenya utayakuta pale Nairobi.